Huko ccm mbona kama kuna wanaume waoga sana..mnafanyana nini huko..?!Ni kweli wameamua kumtia adabu.
Juzi alikuwa na Kikwete jukwaa kuu wakati wa ufunguzi wa Br ya Bagamoyo, siku mbili baadaye anaongoza maandamano kwenda Ikulu.
Sasa hapo aliokuwa nao jukwaa kuu ndo wana msanifu!
- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!
Le Mutuz
Kasome historia nyerere alikuwa na kesi ngapi mahakamani wakati wakudai uhuru acha ukasuku..Nyerere alipigana na nani na alifungwa jela gani? Acha kutuharibia historia yetu nzuri ya kupata uhuru bila kumwaga damu.
- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!
Le Mutuz
Kulikua na mkoloni mweupe, na vibaraka weusi, kwa sasa mambo yamedirika sana, kuna mkoloni mweusi na vibaraka ni wale wale ola wameongezeka sana na kukosa akili kabisa
Huko ccm mbona kama kuna wanaume waoga sana..mnafanyana nini huko..?!
Watu tumekula maarage mabichi tena yenye wadudu kwa miaka sita ndo iwe kula hapo mahabusu siku mbili..?! Wewe acha wanawake wa shoka wapachimbe wewe kapige picha za kurembua insta..- hahahahahahahaha ngoja akale maharage mabichi ndio atashika adabu kudadeki na huko ndani wakimuwacha sijui unawajua wale mburulazzz kule wamepinda sana U know!!
Le Mutuz
Ukiongea mambo ya mke unaingia kubaya maana tutanza kuongea habari za ANNA hapa ambae sijui mmepishana mwaka..- Maswali ya mvi muulize Dr. Slaa kama ni busara mbona hana mke wewe mkiltea za kuleta mptapigwa tu
Le Mutuz
Watu tumekula maarage mabichi tena yenye wadudu kwa miaka sita ndo iwe kula hapo mahabusu siku mbili..?! Wewe acha wanawake wa shoka wapachimbe wewe kapige picha za kurembua insta..
Kasome historia nyerere alikuwa na kesi ngapi mahakamani wakati wakudai uhuru acha ukasuku..
Ukiongea mambo ya mke unaingia kubaya maana tutanza kuongea habari za ANNA hapa ambae sijui mmepishana mwaka..
Wewe endelea na ukunguru mpaka kina sita waku....ndo akili itarudi maana naona akili umewapa ww umebakia na makalio na tumbo ambalo linakutia woga kama kunguru..MWAKA HUU ATUCHEKI NA kunguni.....wasije wakatulaza sakafuni
NA HATUCHEKI NA NYANI.........tusije kupishana na msimu wa mavuno
NA HATUCHEKI KWALE ...........Tusije tukabaki na manyoya
MPAKA MUMTAJE ALIEWATUMA
YAANI HATULALI
HATUNYWI MAJI
HATUSTAREHE NA WAKE ZETU KWA RAHA....ukiuliza nini ETI UKAWA.
nini UKAWA bwana ..... WHO IS UKAWA..WHO`S SHE?
pengine mleta mada hakumaanisha vibaya! lakini kuna tofauti kubwa kati ya jela na maabusu. shortly, maabusu ni wakati wa pending case lakini jela ni baada ya kesi ya msingi kuisha na mtuhumiwa kuhukumiwa kifungo!
Nimefeli maisha njoo muhimbili nikuchome sindano matakoni ndo utajua nimefeli au nimefauli..mliofeli maisha ninyi mnaowakatikia akina chenge viuno pale bungeni..Hujaelewa maswali yangu, ndio maana umefeli maisha.
Siwezi kubishana na watu cowards kama wewe..si ajabu una miaka 30 hata polisi kwenda kutoa ushahidi hujawai fika..so ni ukubguru tu unakusumbua.. Acha wanawake wa shoka kama akina halima mdee wapiganie haki zako..wewe kapake hina-coward
ngoja anyee debe ataelewa utii wa sheria ni nn
Kwani kuna kipya hapo sheria hizo zilishawapitia akina mandela, nyerere, nk wewe ndo unaona hatari sana maana ni muoga kama kuku, lkn ni kawaida sana..- Sheria ni msumeno tulia mkuu mtaenda wote huko mkifanya mchezo sheria tu
Le Mutuz
Tatizo la kuzoea ku hadithiwa kuna watu kusoma ni mashariki na magharibi so ni wa kuwahurumia tuKasome historia nyerere alikuwa na kesi ngapi mahakamani wakati wakudai uhuru acha ukasuku..