Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.
Leticia akisia patachimbika ,ataitisha press conferenceKatika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.
Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CVM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video inakuja.
Hakika Halima Mdee siku zako huko chadema zina hesabika! Hakika na jimbo lako sasa litachukuliwa na Josephine maana huu ni usaliti kusifia mawaziri wa Jk!
Kuitwa jembe si tatizo ulimaji wake ndio tatizoKatika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.
Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CVM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video inakuja.
Hahaha halima amechoka unafiki wa Chadema
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????
CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.
Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!