View attachment 197867
Nadhani hapo waweza kupata picha. Na hiyo ilikuwa kabla ya mzee mzima UKAWA hajazaliwa.
Asante Mkuu kwa uthibitisho huu.
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
Mkuu hv n kwel jamaa huwa wanchukua buku 7? Je upo ushahidi?Wasio na kazi ndio watakaoleta ukombozi kwani hawaoni tofauti ya ccm na wakoloni.wamepewa elimu mbovu tena kwa matabaka,hawana fursa za kujiajiri wala kuajiriwa,wana machungu ya kufa kwa viwanda vyao vilivyojengwa na nyerere kwa gharama kubwa then vikauawa na haya mafisadi ili waendelee kuwatumia kisiasa kutokana na umaskini wao mkubwa.UKOMBOZI UTALETWA NA HAO WALIOKATA TAMAA,HAO WALIOKOSA ELIMU BORA,WASIO NA AJIRA RASMI AU ZISIZO RASMI NA SI NYIE MABUKU 7 MLIORIDHIKA NA HAYO MAKOMBO YA WEZI,WAUZA UNGA NA MAJANGILI.
hili tukio sasa linalipa. Ccm wangejua kuwa udhalimu wanaofanya wakati mwingine unawasaidia watu wafahamike zaidi kuwa ni watetezi wao.
View attachment 197863
niwashauri tuu wapambanaji kuwa wakiona polisi wanawaonea wasife moyo kwani kwa kufanyiwa hayo mioyo ya watanzania ndio inazidi kuwa na imani nao kwani hata wenyewe huko mitaani kila siku wanabambikwa kesi na kuonewa kila kukicha.
mkuu , nimefurahishwa sana na hilo jina jipya la MH HALIMA MDEE , TANZANIAN IRON LADY !
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
MAGUFULI ni MWEPESI KULIKO PAMBA .
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
Nakushauri na wewe ukafanye mkutano wako huko Chato alafu tuwaone hao wasiokuwa na ajira wakijitokeza.
Tusidanganyane mdee hawed mots makufuli abadan