Halima Mdee amponda aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, bwana Maulid Mtulia

View attachment 642893
View attachment 642894

My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.

Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.

Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.

Kukosa maarifa ni jambo baya sana!

Haya mambo yatatokea tu huko Tanganyika kwenye watu na njaa pesa, Zanzibar itabakai kuwa sehemu ya historia kwa Tanzania isiyo na ushawishi na tamaa ya watu wenye maslahi binafsi.
 
Nakumbuka movie fulani ila jina nimelisahau BOLO YOUNG alicheza kama ADUI KUBWA alimwambia mtu YOU ARE THE NEXT so Halima akae mkao wa kula au kuliwa tu.
 
si ajabu yeye kusema hivyo, maana hakukuwa na namna nyingine ya kuficha aibu.
 
View attachment 642893
View attachment 642894

My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.

Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.

Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.

Kukosa maarifa ni jambo baya sana!
Yupi wajinga zaidi kati ya huyo mbunge alie achia ngazi na walio mchagua mbunge shoga na msagaji haishi kupayukapayuka
 
Bora umekubali wananunuliwa ilo tu ndo nilitaka kujua! Mengine ni haki yake kikatiba kabisa

Bora nami nimejua kuwa kigezo cha Mpinzani kupewa madaraka ndani ya Vyama vya Upinzani urahisi wake wa kununulika!

Ukiona Mkeo katongozeka usikimbilie kumlaumu aliemtongoza, kosa unalo Wewe kuoa Kimeo
 
ukiona anayekukimbiza anaanza kumwaga matusi, basi we ongeza mbio tu kwani tayari ameshaanza kushindwa huyo na muda si mrefu atakaa chini au kugeuza alikotoka........mdee ni mkimbizaji anaeanza kutoa matusi!
 
Kafika bei. Yaani mtu amejitoa baada ya kuahidiwa kuwa atapewa nafasi ya kugombea tena?
Hii ni aibu kubwa kwa mwanaume wa ukweli
DAR UKAWA BADO INA NGUVU Na WATU WAELEWA. ALUDIE Kugombea kwa tiketi ya ccm aone na tupime.
 
Back
Top Bottom