Halima Mdee amponda aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, bwana Maulid Mtulia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,832
2,000
280CDC0E-A4B3-4AE0-ACA6-7C844EEAC95D.jpeg

D0D3B847-5F05-4998-8566-6C7494DB15BE.jpeg


My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.

Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.

Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.

Kukosa maarifa ni jambo baya sana!
 

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,860
2,000
Kwa maana hiyo wabunge wa viti maalum wa CUF pia watapungua! Wale wanao ngojea tamko la mahakama imeshakula kwao. Kweli ng'ombe wa maskini hazai.
 

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Anasubiriwa Mtulia wa Temeke kuimaliza rasmi CUF ya Maalim Seif Dar ,amebaki huyo tuu mbunge wa Temeke akitimka huyo UKAWA tuisahau jijini Dar es Salaam. Na hivi ndugu yake kashasalimu amri hata yeye yu karibu kuingia zizini,mtulia wa Temeke ndio mbunge angalau wa CUF mwenye sauti.
 

bne

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,604
2,000
Kafika bei. Yaani mtu amejitoa baada ya kuahidiwa kuwa atapewa nafasi ya kugombea tena?
Hii ni aibu kubwa kwa mwanaume wa ukweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom