Halima Mdee amponda aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, bwana Maulid Mtulia

Ajiandae pia ku tweet sana maana Sasa ni kata Mti panda Mti
Sijui kwanini huoni ubaya ya haya yanayoendelea Leo, ila kwa akili na uelewa wangu, kuna mtu anaakili za kitoto ndiye anayeleta haya, na anapigania zaidi uwepo wake, sasa siku jipu likiiva ndiyo akili zenu zitafunguka na itakua too late.
 
Sijui kwanini huoni ubaya ya haya yanayoendelea Leo, ila kwa akili na uelewa wangu, kuna mtu anaakili za kitoto ndiye anayeleta haya, na anapigania zaidi uwepo wake, sasa siku jipu likiiva ndiyo akili zenu zitafunguka na itakua too late.

Mtu kuhama Chama ni jambo Baya?
Mbona Lowassa, Sumaye, Kingunge walihama CCM. Na halikuwa jambo Baya?
 




My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.

Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.

Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.

Kukosa maarifa ni jambo baya sana!

Huko Chadema atabaki mbowe tu
 
Siasa ni mchezo mchafu kama kuna mtu ameingia kwenye siasa akitegemea utakua msafi atoke tu kwenye siasa akae huku tuliko sisi tunaendelea na masuala yetu bila kuhangaika.
Sasa mtu kahama chama hajahama akakwambia na wewe hama unamlilia achana nae endelea na mishe zako.
Ukiona umeanza kuwaamini wanasiasa ujue unatatizo kubwa sana.
Nakumbuka Mbowe anapompokea Lowasa alituambia wananchi na mambo mawili huwa nayakumbuka daima.
"Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola"
Na
"Siasa haina urafiki wala uadui wa kudumu"
Haya yananiambia siasa na wanasiasa wanaenda na yeyote mradi atahakikisha kula yao, wanasiasa watakua tayari kumpinga/hujumu au kumsifia na kumsafisha yeyote mradi wana maslahi nae.
Wanasiasa sio wa kuwaamini nashauri kila mtu sasa awe na maslahi ya kudumu na lengo lake liwe kushika noti kwa wingi.
Ukibakia na imani na wanasiasa wao wako kazini wewe uko na imani yako.
Utaumia kila siku, kwa kuwa inasemwa "Hakuna jambo linatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya" inawezekana hukujua ila kuna waliolijua na wewe ukatengenezewa mazingira uhisi ni bahati mbaya.
Mungu atujalie tuwaelewe wanasiasa na nia zao mapema
 
Ni ndani ya chadema tuu, utapata VIONGOZI mafisadi Number 1, mitume bandia NA wezi wa magari, wabadilisha GIA Angani NA WASAGAJI
 
Ni ndani ya chadema tuu, utapata VIONGOZI mafisadi Number 1, mitume bandia NA wezi wa magari, wabadilisha GIA Angani NA WASAGAJI
Ni ndani ya ccm pekee utapata washamba na malimbukeni. Wakiwa jukwaani badala ya kujenga hoja wanapiga push ups, wanatukana matusi, n.k
 
Anasubiriwa Mtulia wa Temeke kuimaliza rasmi CUF ya Maalim Seif Dar ,amebaki huyo tuu mbunge wa Temeke akitimka huyo UKAWA tuisahau jijini Dar es Salaam. Na hivi ndugu yake kashasalimu amri hata yeye yu karibu kuingia zizini,mtulia wa Temeke ndio mbunge angalau wa CUF mwenye sauti.

Embu tulia basi uandike vizuri una haraka ya nini au unakimbilia dirishani kuwahi buku saba zenu,haya embu angalia upupu ulioandika ,mbunge wa Temeke anaitwa nani na wa kinondoni anaitwa nani? Ukipata jibu rudi kwenye bandiko lako hili la kipuuzi
 
Ajiandae pia ku tweet sana maana Sasa ni kata Mti panda Mti
Haisaidii hiyo. Wananchi wanahitaji huduma za kijamii zilizo bora.Maji, afya,usafiri, umeme, nk.Tena kwa gharama za chini (siyo nafuu)!Kutafuta kupendwa in akili za kijinga.Mkishapendana na kutazamana nyuso zenu zilivyopauka kwa dhiki ni ujinga na ushamba.
 
Embu tulia basi uandike vizuri una haraka ya nini au unakimbilia dirishani kuwahi buku saba zenu,haya embu angalia upupu ulioandika ,mbunge wa Temeke anaitwa nani na wa kinondoni anaitwa nani? Ukipata jibu rudi kwenye bandiko lako hili la kipuuzi
heheheh kumbe hujui wote wanaishia na Mtulia na wote ni wa CUF ni ndugu. Kumbe unabwabwaja wakati hujui chochote,haya kawahi na wewe buku kwenu huko ufipa
 
Bado kuna watatu waandamizi wa chadema mmoja anatoka kilimanjaro mmoja morogoro na mwingine mbeya mtaomba poo kwa buldozer!
Sasa kuhama kwako kunamsaidiaje mkulima ambae mazao yake yanaozea shambani kwa kukosa soko?

Kuhama kwao kuna impact gani kwa mtumishi alieongezewa mshahara kwa shilingi 6000?

Acheni kuwa wajinga na wapuuzi!!
 
Sasa kuhama kwako kunamsaidiaje mkulima ambae mazao yake yanaozea shambani kwa kukosa soko?

Kuhama kwao kuna impact gani kwa mtumishi alieongezewa mshahara kwa shilingi 6000?

Acheni kuwa wajinga na wapuuzi!!
Somo kichwani kwako unaemuamini hayupo kwa ajili ya mkulima yupo kwa ajili ya tumbo jiongeze utaendelea kusuburi post za mange na mdee tu watu wanasonga!
 
Hao upinzani ni bure kabisa,Mara zote huhisi wanachokiwaza wao,au mawazo yao ni sahihi na wana uelewa kupita wengine ilihali ni wapuuzi tu,huwez kulaumu mawazo ya MTU kwani na yy ana akili zake na plan zake,pia kuhama chama sio dhambi.
 
Mtulia ni mpumbavu sana. Huwezi acha ubunge kwasababu Za kipuuzi kiasi hicho.
Katiba mpya ikitungwa kiwepo kipengere cha kuwapima akili wagombea udiwani,ubunge na Urais. Huu upuuzi hauvumiliki, hata kama unataka kumuunga mkono Rais unaweza kufanya hivyo ukiwa hata upinzani. Pumbavu kabisa nyie viongozi wa upinzani mhamiao ccm. Shame on You All. Mlichofanya ni uhaini kwa wananchi waliowachagua Mnastahili adhabu kali kabisa ya kunyongwa mpaka kufa. Imenikera sana hii kitu.
 
Huyo cha pombe naye anatafta chance ya kupewa mshko naye ajitoe huko cdm,ila hawawez kumpa maana ccm inachukua wenye akili c vilaza
 
Back
Top Bottom