Halima Mdee amponda aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, bwana Maulid Mtulia

View attachment 642893
View attachment 642894

My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.

Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.

Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.

Kukosa maarifa ni jambo baya sana!
Haya maneno uliyofungia mada yako yameniingia sana nadhani wakubwa watakusoma na kufanyia kazi ushauri wako. BG UP
 
Mbona China wanachama kimoja tu cha kikomunist na mambo yanaenda vzr hapa CCM inatosha hatutaki mauzauza ya vyama vingine vya ajabu km CDM.
 
Next time tuwe na wagombea binafsi hiki ni kichefuchefu na hatuna budi kulamba ndimu
 
Kwasasa haisaidiii kitu mdee, jitathimini mmekosea wapi na sio siasa za vijiweni, mda wake ulishapita
 
Back
Top Bottom