Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
raisi yupo dodoma ; kashindwa nini kumfuata dodoma au anafuata juice
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
juzi umeona jwtz huko tarime wakiwashikisha adabu police stendi ya tarimeangajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni JWTZ tu
Dawa ya wasiopenda AMANI ni kichapo tu!
ehhhe nzuri hiyo nimeipndaa sana hiyooLeo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
Halima Mdee kamuiga Mbowe na wajinga wenzake wa CHADEMA.
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
Mmm ujinga wako peleka huko Lumumba usiniletee upuuz wenu.... Kwani ikulu inahama, hakna watu, ombeni sefue naye yupo Dodoma? Mjinga ngedere wewe
juzi umeona jwtz huko tarime wakiwashikisha adabu police stendi ya tarimeangajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni JWTZ tu
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.
kwahiyo yeye akajua tayari anaweza kuamka tu ameshiba makande yake na kwenda ikulu, ajifunze kuheshimu mamlaka ya nchi asipoiheshimu mamlaka iliyowekwa na sisi wananchi kwa wingi wetu atapigwa tu
Napia wamwangalie kama ni mwanamke kweli! yaweza kua anaigiza kuwa mwanamke kumbe dume. nchi hii italindwa na raia wake wanaotii sheria bila shuruti ukikaidi utapigwa tu