GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
ili Mwendele kufisadi Nchi? Kumbuka hamuwezi kupambana nampango wa Mungu
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!
Mwenyezi Mungu wawote na nyinyi mnavunja sheria za nchi lazima mpigwa tu haiwezekani kuachiwa huruili Mwendele kufisadi Nchi? Kumbuka hamuwezi kupambana nampango wa Mungu
Hata kama ulionana na Rais wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo haimaanishi usiombe kibali cha kuandamana. Au Rais aliwaandikia polisi akawaambia wakuruhusu kuandamana? Wewe mwanasheria unaelewa vizuri maswala ya taratibu.
watu wa design yetu - ikitokea mnaitwa na mkuu ya idara yenu huwa mnajiharishia. Kuwa hio ulitakiwa waongezewe mshahara ili wasifuate taratibu za kazi yao?Polisi wanalipwa laki mbili tu bado hawajitambui hivi wakiongezewa mshahara je....
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!
Mwenyezi Mungu wawote na nyinyi mnavunja sheria za nchi lazima mpigwa tu haiwezekani kuachiwa huru
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!