Halima Dendegu: Mkuu wa wilaya nne

Halima Dendegu: Mkuu wa wilaya nne

Yaani watz tuna bahati mbaya, kama mchezo wa karata nitasema kila mara tunalamba garasa tu.
 
Hivi unajua kama mwanamama huyo anatawala wilaya nne za Kilosa,Morogoro manispaa,Morogoro Vijijini na Mvomero?

Toka JK apangue wakuu wa wilaya mpaka sasa bado anayezitawala wilaya hizo ni huyo mwanamama.

Je, hakuna wengine wa kumsaidia? Kwanini iwe yeye tu?
Huyu mama ni jembe haswa kwenye kazi, acha tu awe juu!
Big up mama!
 
Back
Top Bottom