mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 853
- 1,701
Siyo yeye tu wabunge wengi humu bungeni ni mizigo hasa hawa wa kuteuliwa, wanakwenda kulinda maslahi yao peke yao na ya waliowachagua. Hii si kwa CCM tu hata upinzani ndiyo maana kwa hili nampenda Zitto kabwe maana yeye hajali kuitwa msaliti pale anapoona kuna ukweli lakini watu walioelimika kama kina Tundu Lisu nao wananaswa katika mtego kama huu hata wale wa CCM walioelimika wanakisemea chama chao CCM bila kujali kama ni kwa manufaa ya umma ama manufaa ya CCM na kundi la majambazi. Demokrasia tanzani ni ya ujanja ujanja tu. Taabu sana ndiyo maana wakati mwingine nashangaa hata sisi wananchi tunaingia katika mkenge wa vyama vyetu ku support kila ujinga ili mradi unatoka katika midomo ya watu wenye itikadi moja na sisi utadhani ni lazima kuunga kila neno analosema Magufuli ama Mbowe tunajisahau kuwa sisi ndiyo mabosi wao hao wanasiasa.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.
"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"
Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu
chanzo EAST AFRICA RADIO
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.

Hiyo ni neema kubwa sana, jicho lake aaahh mie nakosa la kusema!Chombo Mwanana Mambo ya Neema za Allah! Wakubwa wanafaidi
Binti wa miaka 24 halafu wa CCM utafikiri ataklua na uwezo gani wa kufikiri? Halafu eti Chadema kuna undugu, hivi huu wa CCM sio undugu? Hahahahahaha nimekubali kweli CCM ni Slow learners wa makusudi
Hawa ndo Wale bendera fata upepo huko bungeni mdada mdogo tena kijana badala kujenga hoja yy kabakia kuitika ndioooooooooooo.