SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Ni kweli kila mtu atavuna alichopanda, kama wanataka kutugeuza wabunge wote ni Rubber stamp tuhalalishe hukumu inayotokana na hasira zao za kunyimwa mgao, basi wamegonga mwamba.
Alisema mmoja wa wabunge hao anayetokea chama kimoja cha upinzani akijibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa PAC, Deo Filikunjombe aliyenukuliwa na gazeti moja hivi karibuni.
Hivi karibuni Filikunjombe, alisema katika gazeti hilo, kwamba kila mtu atavuna alichopanda katika sakata hilo, baada ya kupokea ripoti ya CAG kutoka kwa Naibu Spika, Job Ndugai.
Ripoti nyeupe, Zitto kapiga mpunga, anashindwa namna ya kuchomoka ndio maana kaanza kusema watahoji wahusika nyuma ya pazia sababu anajua hakuna mtuhumiwa kama alivyokuwa akijitamba.
Ifike wakati mtu akizusha jambo ambalo baadae ikabainika si kweli ashtakiwe na alipe gharama aliyoisababisha serikali kutumia fedha nyingi kufanya uchunguzi.nadhani hii itsaidia ana kupunguza uzushi