Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Kiparang'anda ni mkuranga hiiMkoa gani huo na wilaya gani hiyo tafadhali. Saidia taarifa. Shukrani
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Halafu huko CCM imetamalaki sanaBila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali
Duh...Adhabu sio mpaka mtu afungwe 10yrs jamani kiroba cha kg 5 adhabu tosha hiyo
Sasa mwanafunzi kampa mwenzake mimba unataka apewe adhabu gani kiongozi unataka apigwe mvua ya 30yrs 😄 au sabb sio mtt wakoDuh...
MKuuu kupeleka Kituo cha Polisi kwenye kijiji ni namna fulani ya kudumaza kijiji husika na kuvunja undugu na ushirikiano uliodumu toka Vijiji vya Ujamaa.Bila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali
Mkoa wa PwaniKiparang'anda ni mkuranga hii
Kwa hio unashauri nini kifanyike?Sasa mwanafunzi kampa mwenzake mimba unataka apewe adhabu gani kiongozi unataka apigwe mvua ya 30yrs 😄 au sabb sio mtt wako
Duuuuh kwa hio Mimba 1 inachukua viroba vingapi mkuu?Adhabu sio mpaka mtu afungwe 10yrs jamani kiroba cha kg 5 adhabu tosha hiyo
Huko si kwa WazaramoKiparang'anda ni mkuranga hii
Wanafunzi wanapeana mimba alafu adhabu ina angukia upande mmoja kwangu hiyo kwanza sio sawaDuuuuh kwa hio Mimba 1 inachukua viroba vingapi mkuu?
Kwa hio unataka kusemaje mkuu ni halali yao kufanya hivyo?Huko si kwa Wazaramo