Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 663
Kuna binadamu humu anaitwa g turn alidai kwenye comment moja kuwa haoni mantiki ya hilo shambulizi.MPAKA LEO NAMSHANGAAHali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Webabu Ritz hii ni sahihi au AI imetumika. Kwanini uchokoze kama huna uwezo wa kujilinda. Na kwanini umma ukubaliane na mawazo mufilisi kutoka kwa wachache kwa furaha yao wachache. Mwisho wa yote wanaopata shida ni wanawake, watoto na sisi vizeeHali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Uwanja wa ndege wa. ndege kana kwamba kuna uwanja wa ndege wa magari😳😳😳😳😳😳😳Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
But ujumbe umeeleweka though. Typing Error: Uwanja wa Ndege wa SanaaUwanja wa ndege wa. ndege kana kwamba kuna uwanja wa ndege wa magari😳😳😳😳😳😳😳
Yule dogo amesoma madrasa tu kisha ilimu duniya aliishia kidato cha pili. Hamna kitu kichwani.Kuna binadamu humu anaitwa g turn alidai kwenye comment moja kuwa haoni mantiki ya hilo shambulizi.MPAKA LEO NAMSHANGAA
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah satellite news channel that the Israeli strike destroyed the airport's terminal and left craters in its runway.
We kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.Ritz Adiosamigo Webabu inabidi kutoa tamko. Tulishangilia sana Yemen walivyorusha makombola Israel. Kuna mmoja alisema haiwezekani ndege za. israel zikaenda piga Yemeni umbali mrefu. Israel kaenda kapiga. Karudi anakunywa kahawa. Nakumbuka Iran walitumwa mademu wakatandika wakarudi kunyonyesha watoto wao kama vile nothing happened. Operation sijui Promise imeota mbawa mpaka leo.
We kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.
Hao wanawake walijikojelea waliishia mpakani kule Iraq hawakugusa Iran ndio sababu hakuna target walizo piga zaidi ya kelele. Toka lini USA na Israel waliongea ukweli.
Hivi we unadhani Yemen watamshinda kurusha nawe mengi kwa wakati mmoja hujui hata unapiga wapi ukaishia kupiga ndege za abiria au cargo na Airport building au kiwanda cha cement hapo ni dalili umeishiwa 🤣
Nani kakuambia ndege zao zinakwepa Saud Arabia au Jordan hakuna ndege za kivita zinaweza kwenda 2500 bila refuel unless uwe kichaa kama wewe ndio utamini.
Mkuu unauchocheziWe kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.
Hao wanawake walijikojelea waliishia mpakani kule Iraq hawakugusa Iran ndio sababu hakuna target walizo piga zaidi ya kelele. Toka lini USA na Israel waliongea ukweli.
Hivi we unadhani Yemen watamshinda kurusha nawe mengi kwa wakati mmoja hujui hata unapiga wapi ukaishia kupiga ndege za abiria au cargo na Airport building au kiwanda cha cement hapo ni dalili umeishiwa 🤣
Nani kakuambia ndege zao zinakwepa Saud Arabia au Jordan hakuna ndege za kivita zinaweza kwenda 2500 bila refuel unless uwe kichaa kama wewe ndio utamini.