Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,606
- 13,989
Haha hao walisha pewa lana zamani etiMkuu unauchochezi
Wewe unataka Israel na Iran zichapwe?
Usiombee vita ndugu yangu, kuna uhai wa watu unapotea chief
Vita mbaya sana, mimi Wayahudi siwaelewielewi sana hawa, uwezo wao ni kama kuna miungu ndani yake
Kuna miungu ndani yake hivi miungu ipi unayo kusudia miungu ya kikristo sababu Wayahudi wanamini Mungu wa Waislam pia Mungu wao nyie ndio mungu wenu binadamu.
View: https://youtube.com/shorts/6ymB7X5EzS0?si=qO3ZQqXaCKJFikEy