Hali ya Uwanja wa Ndege wa Ndege

Hali ya Uwanja wa Ndege wa Ndege

Kindred Spirit

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
457
Reaction score
661
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo

Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah satellite news channel that the Israeli strike destroyed the airport's terminal and left craters in its runway.
 
Attachments

  • Screen_Recording_20250508-003047_Threads_1.mp4
    38.2 MB
  • Screenshot_20250508-081946_Chrome.jpg
    Screenshot_20250508-081946_Chrome.jpg
    354.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250508-082014_Chrome.jpg
    Screenshot_20250508-082014_Chrome.jpg
    514.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250508-082041_Chrome.jpg
    Screenshot_20250508-082041_Chrome.jpg
    257 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250508-082117_Chrome.jpg
    Screenshot_20250508-082117_Chrome.jpg
    234.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250508-081836_Google.jpg
    Screenshot_20250508-081836_Google.jpg
    372.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250508-081756_Google.jpg
    Screenshot_20250508-081756_Google.jpg
    393.7 KB · Views: 22
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Kuna binadamu humu anaitwa g turn alidai kwenye comment moja kuwa haoni mantiki ya hilo shambulizi.MPAKA LEO NAMSHANGAA
 
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Webabu Ritz hii ni sahihi au AI imetumika. Kwanini uchokoze kama huna uwezo wa kujilinda. Na kwanini umma ukubaliane na mawazo mufilisi kutoka kwa wachache kwa furaha yao wachache. Mwisho wa yote wanaopata shida ni wanawake, watoto na sisi vizee
 
Uwanja wa ndege wa. ndege kana kwamba kuna uwanja wa ndege wa magari😳😳😳😳😳😳😳
 
Hii ni real mzee baba. Kila kitu kimeteketea hadi ndege zilizokuwa zimepaki hapo uwanjani.
Webabu Ritz hii ni sahihi au AI imetumika. Kwanini uchokoze kama huna uwezo wa kujilinda. Na kwanini umma ukubaliane na mawazo mufilisi kutoka kwa wachache kwa furaha yao wachache. Mwisho wa yote wanaopata shida ni wanawake, watoto na sisi vizee
 
Pigaa haooo
 
Attachments

  • GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    11 KB · Views: 16
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo

Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah satellite news channel that the Israeli strike destroyed the airport's terminal and left craters in its runway.

Ritz Adiosamigo Webabu inabidi kutoa tamko. Tulishangilia sana Yemen walivyorusha makombola Israel. Kuna mmoja alisema haiwezekani ndege za. israel zikaenda piga Yemeni umbali mrefu. Israel kaenda kapiga. Karudi anakunywa kahawa. Nakumbuka Iran walitumwa mademu wakatandika wakarudi kunyonyesha watoto wao kama vile nothing happened. Operation sijui Promise imeota mbawa mpaka leo.
 
We kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.

Hao wanawake walijikojelea waliishia mpakani kule Iraq hawakugusa Iran ndio sababu hakuna target walizo piga zaidi ya kelele. Toka lini USA na Israel waliongea ukweli.

Hivi we unadhani Yemen watamshinda kurusha mawe mengi kwa wakati mmoja hujui hata unapiga wapi ukaishia kupiga ndege za abiria au cargo na Airport building au kiwanda cha cement hapo ni dalili umeishiwa 🤣

Nani kakuambia ndege zao zinakwepaanga la Saud Arabia au Jordan hakuna ndege za kivita zinaweza kwenda 2500 bila refuel unless uwe kichaa kama wewe ndio utamini.
 
We kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.

Hao wanawake walijikojelea waliishia mpakani kule Iraq hawakugusa Iran ndio sababu hakuna target walizo piga zaidi ya kelele. Toka lini USA na Israel waliongea ukweli.

Hivi we unadhani Yemen watamshinda kurusha nawe mengi kwa wakati mmoja hujui hata unapiga wapi ukaishia kupiga ndege za abiria au cargo na Airport building au kiwanda cha cement hapo ni dalili umeishiwa 🤣

Nani kakuambia ndege zao zinakwepa Saud Arabia au Jordan hakuna ndege za kivita zinaweza kwenda 2500 bila refuel unless uwe kichaa kama wewe ndio utamini.

Umepaniki sana wewe fisi. Irani kipigo ambacho alikipata hana hamu tena. Huelewi kitu dogo ndege zinajazwa mafuta na boeing hewani zinaenda zinapiga zinarudi kupumzika. Dogo hujui kitu ndo maana unapaniki sana. Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini. Umejawa makasiriko na kupaniki bado sana sheikh wangu. Kipigo kitakuja tu kila mtu kwa zamu yak3
 
We kenge si mlisema Iran mmevunja kila kitu hawezi tengeneza Missiles sijui miaka labda 10 au 20 mbona juzi juzi ka test new Missiles.

Hao wanawake walijikojelea waliishia mpakani kule Iraq hawakugusa Iran ndio sababu hakuna target walizo piga zaidi ya kelele. Toka lini USA na Israel waliongea ukweli.

Hivi we unadhani Yemen watamshinda kurusha nawe mengi kwa wakati mmoja hujui hata unapiga wapi ukaishia kupiga ndege za abiria au cargo na Airport building au kiwanda cha cement hapo ni dalili umeishiwa 🤣

Nani kakuambia ndege zao zinakwepa Saud Arabia au Jordan hakuna ndege za kivita zinaweza kwenda 2500 bila refuel unless uwe kichaa kama wewe ndio utamini.
Mkuu unauchochezi

Wewe unataka Israel na Iran zichapwe?

Usiombee vita ndugu yangu, kuna uhai wa watu unapotea chief

Vita mbaya sana, mimi Wayahudi siwaelewielewi sana hawa, uwezo wao ni kama kuna miungu ndani yake
 
Back
Top Bottom