Hali ya Uusalama wa taifa letu ni ya hatari

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,479
Reaction score
5,224
Ukosefu wa mafuta (sio uhaba), ukosefu wa umeme, ukosefu wa ajira, tofauti kubwa ya kipato kati masikini na matajiri na ugumu wa maisha kwa ujumla ni vitu vinavyopelekea hali ya usalama wa taifa letu kuwa hatarini.

Naona kabisa kuna siku watu wataingia mitaani, machafuko makubwa yatatokea na huenda yakamn'goa raisi na serikali yake madarakani.
Kwakweli hali ya usalama wa taifa letu ni mbaya na inatisha.

Umegundua eeh?
Leo nimezunguka vituo 3 consecutively, vyote havina mafuta!...pamoja na kujidai kushusha bei, wasafirishaji abiria aidha watagoma soon, au watapandisha bei za huduma hiyo!
Neno UWT naona kama lilishakuwa msamiati hapa Tz!...Hivi wako wapi hao watu, na wanafanya nini?

tunakoelekea ni mbali zaidi kuliko tulipotoka, tujiandae

Yakitokea maandamano ya kutaka Kikwete atolewe madarakani ntakuwa wa kwanza kujitokeza, heri kufa kwa risasi kuliko kuishi maisha magumu yanayosababishwa na watu wachache wajinga.
Mkapa alikuwa lakini tulipata mahitaji yetu yote muhimu.
Nasema wazi niko tayari hata kujifunga mabomu na kujitoa muhanga dhidi ya hii serikali dhalimu ya magamba.

Wanaohusika na usalama wamelazwa SA baada ya kushiba hela ya wanyonge! Rais hajasafiri sijui ana renew Visa au kapata vikwazo kutosafiri nje ya nchi!!

Aisee! Mmenifumbua macho, sikufikiria mnayojadili hapa!

ukiona wa mutharika kasanda ujue ndo zamu ya tz tuombe mungutu ndo kilicho baki..

Ni aibu kubwa kutembea na kidumu kwenye gari miaka 50 baada ya uhuru. Kwa vile nchi inajiendesha yenyewe bila rais watanzania tuvumilie tusiingie mitaani hadi 2015 tutakapopata rais. Kwa huyu jamaa aliyeko madarakani hata tukiingia mtaani tutakuwa tunaharibu taifa letu kwani hajui nini cha kufanya pale magogoni. Leadership is about RISK TAKING AND INNOVATION. Risk taking is about kufanya maamuzi magumu lakini Mkwerre kashindwa kabisa

Tunatakiwa kuikarabati na kuiboresha Idara ya usalama wa Taifa kwani hali ilivyo ipo kama idara ya usalama wa watawala!
Tunakoelekea siyo pazuri, kama mgeni anaweza kuipa serikali saa 24 na hafanywi chochote, kwa nini wengine wasiige mfano wake kupanga kuhujumu taifa kwa maslahi yao?

Idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa ihusishe zaidi wazalendo wanaofanya kazi katika makampuni binafsi yanayofanya shughuli zake hapa nchini ili kuweza kuwadhibiti wakurugenzi wa makampuni na taasisi binafsi.

Ni muhimu sasa kwa serikali kupenyeza mkono wake kwa karibu kila taasisi isiyo ya kiserikali kwa kuingia mikataba na wataalam wazalendo wanaofanya kazi katika taasisi hizo kupitia idara ya usalama wa taifa ili kupata taarifa za mipango na sera taasisi hizo, zioanishwe na sera na mipango ya taifa na ikionekana zianakinzana basi kuwe na udhibiti wa haraka.

Usalama wa Taifa ni zaidi ya usalama wa viongozi, ni usalama wa raia wote kisiasa, kiuchumi na hata kiutamaduni. Mkulima anahitaji usalama na mustakabali wake, vivyo hivyo wafanyakazi na wafanyabiashara na mwisho viongozi.

Hii awamu ya nne sijapata kuona yaani aibu mno! Ndo maana Nyerere kwenye hotuba ya Mei Mosi Mbeya ya mwk 1995 alisema Ikulu ni mzigo na si mahala pa kupakimbilia! Nadhani Viongozi wengi walishindwa kumwelewa maneno ya Baba wa Taifa kipindi kile, sasa leo tumeona na tumefundishwa na nchi inavyoenda, Magogoni anatakiwa kukaa Kiongozi aina ya Nyerere, Mkapa na Sokoine full stop!

Usalama wa Taifa wapo Baa za Kijitonyama na Sinza wanakula BIA na kubadilisha "plate number" za magari!

BTW: Hivi walinzi wa Kikwete na wasindikizaji wa msafara wake nao ni "State Security Agents" or "Operatives"?

nchi imemshinda kakaa kimya wananchi wanataabika dhambi hii itamtafuna sana huyu jamaa

Ukosefu wa mafuta (sio uhaba), ukosefu wa umeme, ukosefu wa ajira, tofauti kubwa ya kipato kati masikini na matajiri na ugumu wa maisha kwa ujumla ni vitu vinavyopelekea hali ya usalama wa taifa letu kuwa hatarini.
Naona kabisa kuna siku watu wataingia mitaani, machafuko makubwa yatatokea na huenda yakamn'goa raisi na serikali yake madarakani.
Kwakweli hali ya usalama wa taifa letu ni mbaya na inatisha.

<br / hivi wanajamii mnaojua sheria za inji hii, hakuna kipengele au njia kitakachotuwezesha wananchi kuwaondoa viongozi wa hii wizara ya nishati badala ya kusubiri kuondoka wenyewe au ****** kuwaengua? Hii ni aibu kwa taifa. Ndio maana ****** anaona aibu kusafiri katika kipindi

Tunatakiwa kuikarabati na kuiboresha Idara ya usalama wa Taifa kwani hali ilivyo ipo kama idara ya usalama wa watawala!
Tunakoelekea siyo pazuri, kama mgeni anaweza kuipa serikali saa 24 na hafanywi chochote, kwa nini wengine wasiige mfano wake kupanga kuhujumu taifa kwa maslahi yao?
Idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa ihusishe zaidi wazalendo wanaofanya kazi katika makampuni binafsi yanayofanya shughuli zake hapa nchini ili kuweza kuwadhibiti wakurugenzi wa makampuni na taasisi binafsi.
Ni muhimu sasa kwa serikali kupenyeza mkono wake kwa karibu kila taasisi isiyo ya kiserikali kwa kuingia mikataba na wataalam wazalendo wanaofanya kazi katika taasisi hizo kupitia idara ya usalama wa taifa ili kupata taarifa za mipango na sera taasisi hizo, zioanishwe na sera na mipango ya taifa na ikionekana zianakinzana basi kuwe na udhibiti wa haraka.
Usalama wa Taifa ni zaidi ya usalama wa viongozi, ni usalama wa raia wote kisiasa, kiuchumi na hata kiutamaduni. Mkulima anahitaji usalama na mustakabali wake, vivyo hivyo wafanyakazi na wafanyabiashara na mwisho viongozi.

Mkuu hizi ni facts tupu, inaitajika UWT reform haraka sana.

Afadhali idara ya UWT ingebinafsishwa wangefanya kazi kwa ufanisi zaidi. Cha kusikitisha sijui kama watawala wanapelekewa taarifa za kweli, Wao taarifa wanazopeleka ni CDM wanataka kumpindua baba riz kwa maandamano.

Soon migomo itaanza wafanyakazi, wanafunzi tuangalie kama nchi itatawalika, tunagalie hata Israel raia wako mtaani wanalalamikia kupanda kwa garama za maisha sasa JK anafikiri watanganyika watakufa na tai shingoni?

Usalama wa Taifa wapo Baa za Kijitonyama na Sinza wanakula BIA na kubadilisha "plate number" za magari!

BTW: Hivi walinzi wa Kikwete na wasindikizaji wa msafara wake nao ni "State Security Agents" or "Operatives"?
Mkuu, this might seem like a joke but the state of our 'National security' and the response to major issues like the ones discussed hereinunder, leaves a lot to be desired

Yakitokea maandamano ya kutaka Kikwete atolewe madarakani ntakuwa wa kwanza kujitokeza, heri kufa kwa risasi kuliko kuishi maisha magumu yanayosababishwa na watu wachache wajinga.

Mkapa alikuwa lakini tulipata mahitaji yetu yote muhimu.

Nasema wazi niko tayari hata kujifunga mabomu na kujitoa muhanga dhidi ya hii serikali dhalimu ya magamba.

Mungu wangu..hivi ndo mmechoka kiasi hicho wajameni....?

Back
Top Bottom