Hali ya utaifa inatisha

Baadhi ya waislam walitaka wasome albadili kwa waliompiga Lissu risasi serikali ikatumia nguvu nyingi sana kuzuia

Hapo wasiojulikana hawajajulikana bado?
 
Tofauti haziwezi kuepukika sisi kma taifa ila kwa sasa kilichotugawa hivi ni elements za "predatory state/government/political party" zinavoendelea kushamiri. Kwa sasa hapa Tanzania yetu tuna Predators na Prey. Anayepingana kimawazo, kisera, kimtazamo na wenye mamlaka(predators) anaonekana mhaini/muasi hata kama ni haki zake za kimsingi za kimawazo na kikatiba(prey).

Huu hasa ndo mwiba wa kwa nini leo baadhi ya waTZ wazawa wanafurahi tukio la kufedhehesha nchi likitokea kwa sababu ndo wanapopata mwanya wa kutolea hasira au shauku lao.

Kwa TZ ya sasa hakuna cha bunge, mahakama wala yotote wa kurudisha hali ya utaifa isipokuwa the President himself. Ila pia sidhani wala sioni JPM akikumbatia diversity ya kimawazo na kufanya hata wale minority watoe joto/povu lao.

Ni style yake ya leadership na kila kitu kina gharama zake. Tumuache atawale miaka yake mazuri atuachie, madhaifu tujifunze!
 
Aisee shetani wa bahima empire ndio kaifikisha nchi hapa, Mungu amlaani afe mapema tena mdomo wazi.
 
Mapandikizi yametuonea wivu Amani umoja na Upendo wetu thus yanatuvuruga kwao Hakuna Amani,Upendo na umoja zaidi ya roho za chuki Na visasi.
 
Ulishawahi ona serikali inamuwekea Mbunge aliyepigwa risasi akapona mawakili 16 wakiongozwa na mwanasheria mkuu ashindwe kesi ya kudai haki yake mahakamani, toka upate akili hapa Tanzania???? Idadi sawa na risasi zilizomwingia mwilini, Achilia mbali kumvua ubunge akiwa katika matibabu ng'ambo.
 
Ili kuitwa Taifa, ni lazima kuwepo na population inayoishi katika mipaka inayotambuliwa. Hivyo basi, alama kuu ya Taifa ni Raia wake. Pale inapotokea alama kuu ya utaifa inapuuzwa, haithaminiwi, usitegemee kuwepo na Utaifa. Kwa nguvu zile zile tunazotumia kuisifia serikali, ndizo pia zitumike kuishauri pale inapoenenda kinyume na maadili ya katiba ya nchi, kwani yote ni kwa ajili ya maisha bora ya wananchi. Na tukumbuke, duru kubwa ya Taifa, ni kuthamini watu wake. "The best heritage to leave to our children, is to make them, understand the value of their neighbors, fellow citizens".
 
Nasikia zinaitwa ndege za Magufuri..Sasa mwenye mabasi ya kwenda mkoani(mfano)yakikamatwa na Benki sisi inatuhusu Nini?????
 
Mtoa post wala usiumie sana. Hao unaowaona humu wakishangilia mabaya ya Tanzania ni wachache sana. Wengine sio Watanzania.
 
..kuna waTz wanajiita wazalendo wanafurahia na kusherehekea wakiona wenzao wakitekwa, wakiteswa, wakibambikiwa kesi za hovyo-hovyo, na hata wakipigwa risasi.
Inabidii tuambiwe maana mpya (Kama ipo) ya uzalendo ni ipi?
 

Waambie ccm hayo maneno. Hiyo ya AFCON mburula moja ilidai timu ni ya ccm kwani kila Mtanzania ni ccm? Sisi tunafurahia mabaya juu ya ccm.
 
Serekali inayotumia mabavu kutawala wananchi wake kihalisia haina uwalale wote kushughulikia matatizo yao hivyo basi wananchi wake si mbumbumbu wana haki ya kuikumbusha tu kuwa usitarajie ungaji mkono wao.
 
''Lost Generation'
 
Hivi nani wakunikumbusha maana ya ukaburu kama ulivyotafsiriwa na Mwl Nyerere?
 
Hakuna uzalendo kwenye njaa zaidi utakuwa uzalendo feki.
 
Watu wakishiba uzalendo hawalazimishwi.Kusomesha watu no ni kuuwa uzalendo.
 
Once my dad told me " when something like this happen, don't ask what, who or when, just ask WHY. Pls mleta Mada, jiulize hili swali, "KWANINI?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…