mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Haya wao wanaojiita "Wazalendo" hayawahusu. Haya kwao ni kama hayatokei Tanzania!Mbona wakati tundu lissu kapigwa risasi, azory kupotea, ben saa nane n.k n.k hamkutuunga mkono tulivyokuwa tunalia kuulizia wapo wapi? ya kwenu mnataka tuwaunge mkono, ya kwetu ya utaifa hamuyaoni eheee[emoji26][emoji26][emoji26]
La kusikitisha ni kwamba hao "wazalendo" hawayaoni hayo. Na wala hawataki kujiuliza kwa nini hali iwe hivi!..kuna waTz wanajiita wazalendo wanafurahia na kusherehekeakea wakiona wenzao wakitekwa, wakiteswa, wakibambikiwa kesi za hovyo-hovyo, na hata wakipigwa risasi.
Tunayaona sana Mkuu. Wao wanashangilia na kutubeza pale mmoja wao anapotuumiza. Lkn wao wakiguswa tu kidogo basi hukimbilia suala la Uzalendo.Inatisha sana, Watu wanatekwa na wanapotea alafu kiongozi mwenye dhamana badala ya kueleza mambo ya msingi analeta mipasho.
Alafu wanahubiri Uzalendo,hivi wanafikiri Watanzania hawasikii au kuona yanayoendelea nchini.
Unatembea kifua mbele huku unaenda kucheua 74billion tena kwa lazima kwa sababu ya uzembe na ujinga??utakuwa sio mzima hapo juu.Hao wanaoshangilia ni majizi na wapiga dili wakishirikiana na mabeberu, Wazalendo wanatembea kifua mberee.