Hali ya usalama ni tete jijini Mwanza

Walaaniwe wahuni wote ambao kwanza wamewajeruhi wabunge wetu,pia kuna haja sasa NEC hii au itungwe sheria itakayoelezea kua kipindi cha uchaguzi kue askari kanzu wasiovaa uniform zao maana wananchi wanawaogopa na mavazi yao hayo
 
Walaaniwe wahuni wote ambao kwanza wamewajeruhi wabunge wetu,pia kuna haja sasa NEC hii au itungwe sheria itakayoelezea kua kipindi cha uchaguzi kue askari kanzu wasiovaa uniform zao maana wananchi wanawaogopa na mavazi yao hayo
 
Wafafuateni huko igoma na bugarika mlikokuwa mnawachukua ili waje kuwashangila kwenye mikutano ya kirumba
 
Kila nikifikiria Polisi wetu hua namkumbuka sana Rafiki yangu Kamanda Samson Mwigamba na ule Waraka wake.
Nina wasiwasi kama hata hua wanausomaga,

"Kimbilio la Waliofeli ni Ualimu Na Upolisi na Ualimu"
Hiyo ni dhana mufilisi kwa taarifa yako kama upo tayari kuipokea.Sasa hivi polisi na walimu waliosoma ni wengi kuliko unavyodhani sema we unawachukia tu Polisi na walimu lakini si kusema waliofeli ndiyo wapo huko.WApo waliosomeshwa na baba zao,mama zao,kaka zao,shangazi zao hata walezi wao tena hadi kufikia elimu unayohisi inafaa kwa kazi hiyo ya Polisi na ualimu inawezekana nawe umefundishwa na mwalimu huyohuyo unayedai alifeli acha dharau Bwana mdogo.Ukikamatwa na polisi unakuwa mdogo kama piritoni na ulipofundishwa na mwalimu aliyefeli ukiwa darasani ulitulia kama maji mtungini kumsikiliza aliyefeli.Nimekuchukia sana kwa kudharau kazi za watu.
 
PAMOJA NA KUTUMIA DOLA KAMA WANVYOPENDA STILL TUMECHUKUA KATA YA KILUMBA IS A MATTER OF TIME HATA BI KILEMBWA KWENYE KIVULI KINAISHI ALIWATISHA SANA WATU LAKINI MWISHOWE HATA VIUNGO0 VYAKE VYA MWILI VILI MDIS.:lol:
 
Back
Top Bottom