Hali ya upatikanaji wa maji mtaani kwako ipoje?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,580
4,633
Hali ya upatikanaji wa maji mtaani kwako ipoje sisi wa ubungo baadhi ya maeneo tuna wiki ya nne hatujaona maji vipi mtaani kwako?
 
Huku hakuna shida ya maji,maji ya bomba tunanyeshea mashamba huku,maji hayajWahi kukatika hata siku moja
 
Ila yashakta tulijaza tangu 11 alfajiri mpaka kama saa 4 ivi yalikata...halafu siku tatu nyuma yalikuwepo so tulikuwa bado tunayo kweny pipa yaani siku tatu mbele yanaweza kutoka Tena ...sijui huko kwenu ila ila kweny yanaenda kwa interval ya siku tatu au nne yanatoka Tena.
 
huku kwetu maji yalivyoanza kutoka tu umeme ukakatika,umeme uliporudi na maji nayo yakakataki.
huu ugomvi wa maji na umeme hau ni kitu gani!
 
Back
Top Bottom