Linguistic JF-Expert Member Mar 16, 2021 3,671 8,237 Sep 13, 2021 #1 Walimu watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) mwaka 2018 nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za awali [chekechea]. Hii ni Kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo. Walimu hao ni Dk. John Timon Owenga, Dk. Violet Otieno na Dk. Daughty Akinyi.
Walimu watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) mwaka 2018 nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za awali [chekechea]. Hii ni Kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo. Walimu hao ni Dk. John Timon Owenga, Dk. Violet Otieno na Dk. Daughty Akinyi.
Extra miles JF-Expert Member Apr 18, 2018 3,319 4,355 Sep 13, 2021 #2 Nini kifanyike kupambana na suala la kukosekana/uhaba wa ajira?
Abuu Abdurahman JF-Expert Member May 9, 2017 1,447 1,770 Sep 13, 2021 #3 Extra miles said: Nini kifanyike kupambana na suala la kukosekana/uhaba wa ajira? Click to expand... Kila mmoja ajibebe mwenyewe
Extra miles said: Nini kifanyike kupambana na suala la kukosekana/uhaba wa ajira? Click to expand... Kila mmoja ajibebe mwenyewe
kirikou1 JF-Expert Member Nov 8, 2016 4,802 6,468 Sep 13, 2021 #4 Waambie alokua katibu mkuu mstaafu wa SADC leo kawa waziri🤣🤣
Extra miles JF-Expert Member Apr 18, 2018 3,319 4,355 Sep 13, 2021 #5 Abuu abdurahman said: Kila mmoja ajibebe mwenyewe Click to expand... 😅😅😅 Bado haisaidii kuondokana na tatizo
Abuu abdurahman said: Kila mmoja ajibebe mwenyewe Click to expand... 😅😅😅 Bado haisaidii kuondokana na tatizo
N Nyumisi JF-Expert Member Nov 10, 2010 13,405 19,069 Sep 13, 2021 #6 Kozi nyingi za ngwini hata kama una PhD hakuna mtu ataona kama kuna msomi hapa, ukilinganisha na kozi za science, ngwini hoyeee.
Kozi nyingi za ngwini hata kama una PhD hakuna mtu ataona kama kuna msomi hapa, ukilinganisha na kozi za science, ngwini hoyeee.