I inspectorbenja JF-Expert Member Oct 14, 2012 508 429 Jul 25, 2023 #1 Wadau, kuna shida gani, nipo sheli hapa Ifakara town. Sheli zinatoa mafuta ni mbili tu. Foleni imeanza kumount taratibu. Shida ni nini, hebu tujuzeni.
Wadau, kuna shida gani, nipo sheli hapa Ifakara town. Sheli zinatoa mafuta ni mbili tu. Foleni imeanza kumount taratibu. Shida ni nini, hebu tujuzeni.
Rusumo one JF-Expert Member Oct 4, 2018 3,086 3,620 Jul 25, 2023 #2 DPW wanaseti flow meter wiki ya pili sasa,tuwe wavumilivu mkuu tembea kwa miguu kata ndambi kwa nguvu. CCM hoyeeeeeeee!!!!
DPW wanaseti flow meter wiki ya pili sasa,tuwe wavumilivu mkuu tembea kwa miguu kata ndambi kwa nguvu. CCM hoyeeeeeeee!!!!
H Hoaxer JF-Expert Member Sep 7, 2022 2,726 6,781 Jul 25, 2023 #3 Mkuu wa EWURA na waziri wa mafuta watuambie Kuna shida gani? Mbona kipindi Cha kalemani na Yule mkuu wa EWURA aliyepita hatukuona foleni sheli?
Mkuu wa EWURA na waziri wa mafuta watuambie Kuna shida gani? Mbona kipindi Cha kalemani na Yule mkuu wa EWURA aliyepita hatukuona foleni sheli?
spidernyoka JF-Expert Member Jan 2, 2020 6,083 15,745 Jul 25, 2023 #4 wese hamna Dolari hamna tutatapika dagaa mwaka huu
The Shah of Tanganyika JF-Expert Member Jul 2, 2023 602 1,571 Jul 25, 2023 #5 Wameandika kwenye magazeti leo kuwa meli zimeshatia nanga