Hali ya upatikanaji petroli imeanza kuwa tete

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
500
420
Wadau, kuna shida gani, nipo sheli hapa Ifakara town. Sheli zinatoa mafuta ni mbili tu. Foleni imeanza kumount taratibu.

Shida ni nini, hebu tujuzeni.
 
DPW wanaseti flow meter wiki ya pili sasa,tuwe wavumilivu mkuu tembea kwa miguu kata ndambi kwa nguvu. CCM hoyeeeeeeee!!!!
 
Mkuu wa EWURA na waziri wa mafuta watuambie Kuna shida gani?
Mbona kipindi Cha kalemani na Yule mkuu wa EWURA aliyepita hatukuona foleni sheli?
 
Back
Top Bottom