moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,287
Wandugu,
Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.
Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.
Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.
Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.
Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.
Nawakilisha