Hali ya uchumi nchini: CAG alia na ukata

Hali ya uchumi nchini: CAG alia na ukata

Yeye hayuko juu ya sheria za nchi ikiwemo kuhakikisha taratibu za manunuzi za Serikali zinafuatwa na hakuna hata senti moja inayotumiwa na yeyote yule nchini bila ya kupata baraka za kufanya hivyo toka kwa Wabunge.

Magu hawezi kumpa CAG bil 10 halafu aumbuke kwamba matumizi yake hayazingatii bajeti.
 
Back
Top Bottom