Hali ya uchumi nchini: CAG alia na ukata

Hali ya uchumi nchini: CAG alia na ukata

Lete kidogo hiyo ibara waanze kuogopa
Anaweza kumteua tu kumfukuza hawezi!mfukuzaji anaweza kuanzisha mchakato wa kumfukuza kama Cag atakiuka maadili ya viongozi,lakini ni lazima iundwe tume ya kijaji kuchunguza tuhuma hizo na kushauri,majaji hao ni lazima wawe ni majaji wa mahamakama kuu kutoka nchi mwanachama wa common wealth.jaji yupi wa hovyo kati yao anawaza kuweka rehani weledi kumfurahisha mtu?
 
CAG kazi unayo nani atakupatia fedha ukafunue madudu kibao ya wateule wale wanaokiuka kabisa sheria ya manunuzi ya umma PPRA ?
 
Huu ni uchochezi,serikali yetu tukufu ina pesa za kutosha.
“Ukosefu wa fedha haupo kwenu (CAG) tu, upo serikalini kote; nikubaliane na ushauri wa Prof. (Assad), kwamba tunatakiwa kujiongeza kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya serikali na kusimamia vizuri makusanyo yake,” alisema Kazungu ambaye ni naibu karibu mkuu wizara ya fedha(hiki ni chanzo cha uhakika)
 
Kasi ipi na ukata wote huo serikalini mkuu?

Hana nidhamu hata ukimtazama tu akiwa na JPM huwa hasimami kinidhamu.

Aliulizwa na Tido Mhando tofauti ya Jk na Magufuli akasema Jk alikuwa anatoa hela ya kazi na hafanyii Kazi Mapendelezo ya CAG lakini Huyu hatoi hela halafu anategema tufanye kazi ya kukagua mpaka ngazi ya Kata na kila sehemu anataka tukafanye Special Audit wakat budget kaikata kwa 60%!
 
KWELI HAPA KUNA UWEZEKANO WA KULIVUNJA BUNGE NA KWENDA KWENYE UCHAGUZI?
 
Tatizo sisi tunaotokea kanda ya ziwa tumezoea bia za bei rahisi kama balimi na senator.... Hatujazoea Heineken ...

Huyu wa kanda ya akidhani kuenfesha serikali kwa matamshi na vitisho ndio mambo yataenda....duh
 
“Ukosefu wa fedha haupo kwenu (CAG) tu, upo serikalini kote; nikubaliane na ushauri wa Prof. (Assad), kwamba tunatakiwa kujiongeza kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya serikali na kusimamia vizuri makusanyo yake,” alisema Kazungu ambaye ni naibu karibu mkuu wizara ya fedha(hiki ni chanzo cha uhakika)

Mkuu tumejitahidi kuongeza sana vyanzo vya mapato.. Polisi wa kitengo cha usalama barabarani wanatuingizia bilioni karibia 2 kila mwezi kutokana na faini ya makosa ya barabarani, Sumatra wanaingiza karibia milioni 500 kwa makosa ya vyombo vya usafirishaji abiria.. Tunataka tuanzishe kodi ya kichwa sasa, kwamba kila mtanzania aliefikisha umri wa miaka 18 alipe kodi ya angalau 5,000/= kwa mwezi ambayo tunategemea kupata Tshs. 150,000,000,000..

Ubunifu wetu ni wa hali ya juu.. Soon tatizo litaisha Mkuu..
 
Yaleyale ya mrema kuwapa wahalifu siku 7 waripoti kijijini kwake kwa mazungumzo zaidi,

nilishasema huu utawala awamu ya 5,wataibuka matrilionea wa hatari sana hawajawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Mmoja keshaanza kujitokeza,huyu Bashite,nasikia ana mwaka mmoja tu katika ajira ila anamiliki pesa ya hatari,magari ya gharama na magorofa,just one fuking year for god sake
 
J
CAG hutapewa hela hadi uondoe ile riport ya uuzaji wa nyumba za serekali na ile ya upotevu wa fedha wizara ya ujenzi

Nawaza tu kwa sauti by the way nakubali utendaji wako wa kazi coz hufichi uupuzi
Je CAG hataingiliwa majukumu yake na hule muhimili korofi? But ni vyema prof Asad afuate nyayo za mtangulizi wake Bw Utto L kwa heshima yake na taifa, hii ni kwa sababu kumekuwa na kuingiliwa utendaji wa taasisi za serikali hili kuficha ufisadi na uhalifu wa uchumi wa nchi
 
Yaleyale ya mrema kuwapa wahalifu siku 7 waripoti kijijini kwake kwa mazungumzo zaidi,

nilishasema huu utawala awamu ya 5,wataibuka matrilionea wa hatari sana hawajawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Mmoja keshaanza kujitokeza,huyu Bashite,nasikia ana mwaka mmoja tu katika ajira ila anamiliki pesa ya hatari,magari ya gharama na magorofa,just one fuking year for god sake

Elungata leo umezungumza mawazo yako.. Nakubaliana na wewe..
 
Back
Top Bottom