Hali ya uchumi iendelee kuwa hivihivi hadi tule nyasi.

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
172
189
Kama ni kweli ruzuku ya chama na ambayo ni kodi ya wanachi inaliwa na akina kodo badala kwenda kufanya mambo ya kichama, na imeidhinishwa na hazina, basi tumerogwa kama ni kweli. Hapa ndio tutaambiwa mahakama ya nafisadi imekosa mafisadi, ntashangaa sana!

Sijui CAG ktk taarifa yake atasema pesa zimetumikaje. Mbona maisha magumu mtaani alafu kodi zetu anaramba kodo na wenzake? Tutakapo kula nyasi tutapata akili.
 
Back
Top Bottom