JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,795
- 9,153
Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya.
Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani. Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi wafanyakazi hawajalipwa mishahara yao au malimbikizo yao.