Hali ya Taifa letu: Mwezi mmoja pasipo Hayati Dkt. John Magufuli

Bei ya mafuta imepanda na muda si mrefu nauli pia zitapanda, tutegemee pia kuibuka migomo na maandamano
 
Mwanza kuna mgao wa Umeme wa hatari, yaani imefika hatua ukienda kwa kinyozi inabidi uende na kofia maana haifahamiki TANESCO watakata Umeme muda gani!

Hapa ninapoandika Umeme umekatika tangu saa moja asubuhi! Kabla ya kifo cha Mzee mbona Ujinga huu ulikuwa hakuna?
Mvua zimenyesha hutaki warekebishe Miundombinu Msukuma?
 
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
Ni nderemo na vifijo
 
Furaha ya watanzania imerudi,
Mungu atuepushe tusiangukie kwenye mikono ya dikteta asie na akili Kama mwendazake

dikteta ni mtu ambae anagangania madaraka pale ambapo anatakiwa kua kaondoka kwa maneno haya machache mbowe ni dikteta
 
Nchi imepoa sana, nalimiss amshaamsha ya baba! Yaani dunia kwa sasa imeboa sana, hata matisho ya taarifa za corona kutoka kwa makuadi wa corona na mabeberu pia imechuja sana I see! Hatusikii tena matamko kutoka nje juu ya corona Tz, japokuwa hakuna tulichobadili na tunaendelea na maelekezo ysleyale ya shujaa wetu Mh Dr JPM! Matukio ya ujambazi na uvunjaji maduka na mabenki yameanza kushamiri! Nilizoea kutembea usiku huku nachat na earphones kwa sasa sina ujasiri huo tena!Mungu tunaomba umrehemu na umpumzishe mpendwa wetu Mh Dr JPM mahala pema penye raha ya milele shujaa wetu, amen🙏😭😭😭!
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
 
Cha msingi na muhimu ni kuepuka kwa gharama yoyote kuwa tena na mtawala wa hovyo sampuli ile.

Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutukomboa bila hata ya kumwaga tone la damu toka mikononi mwa mtu aliyetekwa na 😈 shetani na sasa akawa amegeuka sanamu wa kuabudiwa.

Hii imefanya hata wale waliokuwa na mashaka na uwezo wa Mungu muumba katika kusikia kilio cha waja wake kuamini kuwa Mungu hawezi kuwatupa wale wanaomlilia pale wanapoteswa na mawakala wa 😈 shetani.
 
Nchi imepoa sana, nalimiss amshaamsha ya baba! Yaani dunia kwa sasa imeboa sana, hata matisho ya taarifa za corona kutoka kwa makuadi wa corona na mabeberu pia imechuja sana I see! Hatusikii tena matamko kutoka nje juu ya corona Tz, japokuwa hakuna tulichobadili na tunaendelea na maelekezo ysleyale ya shujaa wetu Mh Dr JPM! Matukio ya ujambazi na uvunjaji maduka na mabenki yameanza kushamiri! Nilizoea kutembea usiku huku nachat na earphones kwa sasa sina ujasiri huo tena!Mungu tunaomba umrehemu na umpumzishe mpendwa wetu Mh Dr JPM mahala pema penye raha ya milele shujaa wetu, amen🙏😭😭😭!
Majambazi yataiba simu na earphone kaa ndani hata mchana yapo yanataka simu yako.
 
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?

Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?

Unaionaje nchi bila yeye?
He passed away and the life goes on, nothing else
 
Back
Top Bottom