Hali ya nchi si nzuri

Hali ya nchi si nzuri

abyshine

New Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1
Reaction score
1
umeme. Maji. Afya vyote havieleweki na kila siku ukubwa anaruka na jopo la wasindikizaji wasiopungua kumi kwel hii ni nchi iliyo na haki kwel
 
Mh...! kweli wewe feos buku! Inamaana akifanya kazi atapata umeme na maji? :shock:

Analalamika leo wakati umeme umeboreka?
Maji ni jambo la siku zote.
Fanyeni kazi acheni kulalama.
OTIS.
 
hali inazidi kuwa mbaya, thamani ya tsh. inazidi kuporomoka, na bado eti tunatakiwa tuvumilie miaka mi 4! . . .
 
Hata wale waliojifanya kupigia debe CCM sasa wataonja joto la jiwe....tumezidi kudanganyika....vijisenti walizopewa I am sure is already out of the picture...umeuza nchi na kujiuza wenyewe kwenye utumwa na umaskini uliokithiri....tuwe macho sasa, kama hatatafanya maamuzi ya maana tutaendelea kwenye umaskini wa kufa....wakati wachache wanakomba every resource of our country. It is very bitter reality, but we can change and should change...kila mtu amhamasishe mwenzake
 
Shiiiiiiiiiiii waacheni magamba waendelee kulala ili kazi izidi kuwa rahisi huko mbeleni.
 
Tatizo la watu wengine humu wanadhani kila anayeweka post humu anatokea mjini bila kujua kuwa kuna watu wa vijijini pia wapo humu na hawayapati hayo maji wala umeme,wakilalamika inakuwa nongwa?
 
Analalamika leo wakati umeme umeboreka?Maji ni jambo la siku zote.Fanyeni kazi acheni kulalama.OTIS.
WAMEZOEA KULALAMIKA KILA KITU SERIKALISERIKALI!! IWATANDIKIE KITANDA,IWAAMSHE ASUBUHI,IWATAWAZE LOh!!!
 
Back
Top Bottom