Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,728
- 99,578
Hapana muheshimiwa.Kura zenu ninyi ni nyongeza tu.Majalo yapo kuleeee!Ila na zenu zinapendeka maana hujaza kibaba.Mola aturehemu!ππππππ π kwamba sisi wengine kula zetu si lolote si chochote basi sawa
Mkuu wajasiliamali hawatafukuzwa na tunawahitaji bali watapagwa kwenye utaratibu mkuu tuseme ukweli ile panga yao ya biashara zao ni sahihiHuwez elew kwasab uko kweny V8 yako uku walalahoi wakitoa jasho kusurvive
Mkuu wajasiliamali hawatafukuzwa na tunawahitaji bali watapagwa kwenye utaratibu mkuu tuseme ukweli ile panga yao ya biashara zao ni sahihi
Wako sahihi huwez kupelek biashar kweny white elephant kam pale machinga complex hakn watu na zaidi kituo kidogo unadhan utauza nn ,na zaid jengo haliko planned yan nikawek bidhaa zangu ghorof ya tatu bor niwe street vender tuMkuu wajasiliamali hawatafukuzwa na tunawahitaji bali watapagwa kwenye utaratibu mkuu tuseme ukweli ile panga yao ya biashara zao ni sahihi
Kwan wateja wao ni kina nan si hao hao watanzania ,ASA nan anaetia mkono kuwanyanyasa kuna siasa apo kati ,mipango miji imefeli huwez kumtoa MTU kkoo au katkat ya jijiWako sahihi huwez kupelek biashar kweny white elephant kam pale machinga complex hakn watu na zaidi kituo kidogo unadhan utauza nn ,na zaid jengo haliko planned yan nikawek bidhaa zangu ghorof ya tatu bor niwe street vender tu
Mbezi Jana nimeona mtu kaweka jiko la mkaa kwenye lami anachemsha supu. Mbezi ya kimaraTunajenga lami kwa billions halafu unamruhusu Chingaboy apange "malapa" na magari au watu wasipite.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kwani ni Lazima mkae mijini si mrudi vijijini mkalimeWako sahihi huwez kupelek biashar kweny white elephant kam pale machinga complex hakn watu na zaidi kituo kidogo unadhan utauza nn ,na zaid jengo haliko planned yan nikawek bidhaa zangu ghorof ya tatu bor niwe street vender tu
Dah acha masiharaMbezi Jana nimeona mtu kaweka jiko la mkaa kwenye lami anachemsha supu. Mbezi ya kimara
Hahhh usiombe ukutane mwenye mzigo kam hujui kung fu umeishaPamebaki pakupita watu wa makalio.
Vijijin maish magum mkuuKwani ni Lazima mkae mijini si mrudi vijijini mkalime
Hao wana mizigo ndugu tumia kamusi fikirishiNimeona umesema hamna pa kupita watu wa miguu pengine pa kupita watu wa mikono patakuwepo
Mkuu hiyo Ni daladalaaHuo mpira uliouweka hapo mbele unaniambia uanze tu kutumia jina lako la "sirikale"!Nimekutambua.Nilikuwa nimetoka kununua furu mwaloni nikakuona uso kwa macho.
Tufumbe macho tujiombee toba.Mbezi Jana nimeona mtu kaweka jiko la mkaa kwenye lami anachemsha supu. Mbezi ya kimara
Haibadilishi kwamba nimemuona mubashar na alinikonyeza kispoti!ππππMkuu hiyo Ni daladalaa
Besti wangu sasa watakula wapi? Watalipaje kodi?Hakuna pa kupita watu wa miguu
Malizeni yale masoko haraka mnajenga vitu gani haviishi nyie
View attachment 1943672
View attachment 1943673
View attachment 1943674
View attachment 1943675
View attachment 1943676
View attachment 1943677
View attachment 1943678