Hali ya mwanza na wamachinga

Nimeona umesema hamna pa kupita watu wa miguu pengine pa kupita watu wa mikono patakuwepo
 
Mkuu wajasiliamali hawatafukuzwa na tunawahitaji bali watapagwa kwenye utaratibu mkuu tuseme ukweli ile panga yao ya biashara zao ni sahihi

Wako sahihi huwez kupelek biashar kweny white elephant kam pale machinga complex hakn watu na zaidi kituo kidogo unadhan utauza nn ,na zaid jengo haliko planned yan nikawek bidhaa zangu ghorof ya tatu bor niwe street vender tu
 
Kwan wateja wao ni kina nan si hao hao watanzania ,ASA nan anaetia mkono kuwanyanyasa kuna siasa apo kati ,mipango miji imefeli huwez kumtoa MTU kkoo au katkat ya jiji
 
Wako sahihi huwez kupelek biashar kweny white elephant kam pale machinga complex hakn watu na zaidi kituo kidogo unadhan utauza nn ,na zaid jengo haliko planned yan nikawek bidhaa zangu ghorof ya tatu bor niwe street vender tu
Kwani ni Lazima mkae mijini si mrudi vijijini mkalime
 
Back
Top Bottom