Hali ya mwanza na wamachinga

Wameshaenea njia ya wapita kwa miguu kwa sasa wanasogea mdogo mdogo kwenye njia ya magari
 
Kwa kweli ni wapiga kula
Weye unawabunulia ubeche,kofia,tisheti na talawanda halafu wenyewe wanakujaalia "kula" kwa miaka mitano.Wako very humble!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mkuu, vp member mwenzetu ana chura au ana? ๐Ÿ˜„
Umeanza fujo.Huyo ni mtawa anayevaa mavazi kama Mama Tereza wa Calcutta.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Weye unawabunulia ubeche,kofia,tisheti na talawanda halafu wenyewe wanakujaalia "kula" kwa miaka mitano.Wako very humble!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Umeanza fujo.Huyo ni mtawa anayevaa mavazi kama Mama Tereza wa Calcutta.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kwamba sisi wengine kula zetu si lolote si chochote basi sawa
 
Jengeni ila hilo soko likikamilika hatutalitaka, sisi machinga tumezoea kuuza kandokando mwa barabara kama mnaona barabara hazitoshi jengeni kubwa zaidi...sisi na barabara ni kama nyani na shamba la mahindi, mtatufukuza lakini tutarudi tu๐Ÿ’
 
Kuna vita baridi 3 zinaendelea
1. Serikali vs Machinga (sababu machinga hawalipi kodi, akilipa 20000 imetoka hiyo)
2. Wafanyabiashara vs machinga (sababu mfanyabiashara analipa kodi nyingi pamoja na vat na kuhitajika kutoa risiti za efd na majanga ya kukadiriwa makodi na fremu na gharama za kuendesha biashara zipo juu mno,huku machinga analipa 20000 imeisha hiyo)
3. Hali ngumu ya mtaani vs (machinga + wafanyabiashara)

Wafanyabiashara wengine wameona wahamie kwenye umachinga na wengine wameona wawatumie machinga.
Hali ngumu mtaani biashara haziendi kila mtu kawa machinga/mfanyabiashara na hakuna wa kumuuzia na fremu zipo wazi. Na bado sehemu zingine watu wanajenga fremu kama ugomvi. Watu wengi wanafikiria kuhamisha biashara nje ya tz waende Zambia, Congo, Rwanda, Burundi, Uganda, Malawi e.t.c

Naishia hapo.
 
Tunajenga lami kwa billions halafu unamruhusu Chingaboy apange "malapa" na magari au watu wasipite.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Jengeni ila hilo soko likikamilika hatutalitaka, sisi machinga tumezoea kuuza kandokando mwa barabara kama mnaona barabara hazitoshi jengeni kubwa zaidi...sisi na barabara ni kama nyani na shamba la mahindi, mtatufukuza lakini tutarudi tu๐Ÿ’
Kamwe serikali haiwez kuwaondoa wapiga kura wake et barabarani
 
Back
Top Bottom