hakuna lolote hapo,hilo bomba la gesi litajengwa tu kwenda Dar es salaam,sisi Mitanzania tunamsimamo wa vitu tusivyokuwa na ufahamu navyo ikiambatana na kutokuwa na msimamo endelevu,uwoga na kutokushirikiana ndiyo ugonjwa wetu mkubwa,akivunjwa mguu mmoja mijitu yote inakimbia kujificha chini ya uvungu wa kitanda na kwenye dali na wengine wanakimbilia kujificha porini wakihofia kukamatwa huku tukiwaacha akina mama na watoto wakiathiriwa na migomo ya kipumbavu isiyokuwa well programmed,tangu nipate akili ya kiutu uzima sijawahi kuskia mgomo au msimamo wowote toka mahali popote Tanzania ukileta matunda sehemu husika,jambo la msingi linalotakiwa kufanyika hapo ni kuwa tayari kumwaga damu kwa namna yoyote ndipo serikali itakuwa sikivu kwa wanachokitaka wananchi