Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Humjui?Matumaini ndio nani?.....anyway Mungu amjalie afya njema
Humjui?
[/QU
OTE]
this is african beauty..get well cutie
Humjui?
Alienda Msumbiji kufanya nini? Tunamuomba Mungu apone haraka.
Mungu ni mwema na kwa maombi yetu sina shaka atamrejeshea afya yake kama ilivyo kuwa hapo mwanzao
alienda Msumbija kutafuta maisha!Alienda Msumbiji kufanya nini? Tunamuomba Mungu apone haraka.
Ni biashara gani alienda kufanya huko?Biashara isiyolipiwa ushuru ni marufu sana huko mtipweshi kunakochimbwa madini kuna biashara nyingi huko nampa pole sana mungu atamjalia apone mapema bt asirudi tena mtipweshi ambiwe tu.