Muulize Lema anajua nini huwa kinawapata watu wahuni kama gwajima wakienda polisi.
Gwajima ni super star
Muulize Lema anajua nini huwa kinawapata watu wahuni kama gwajima wakienda polisi.
nilisubiri sana misukule ya Lumumba mliseme hili ili niunge dots.Mlisema Lema kaliwa tigo Polisi.Uamsho nao wakasema Polisi wamekula tigo zao.Jana ukaletwa uzi humu unafunua tabia ya Polisi kula tigo za watuhumiwa wa aina ya Gwajima,Lema etc ili wakitoka wawe kimya.ila mtwara napo ikawa ivo ivo.ule uzi siuoni saa hizi.Kwaiyo unasemaje?mnataka kumla baba Askofu Gwajima tigo yake?mna laana nyie.
Alisaliwa NOVENA huyo
Je kama aliitwa kwa kumkashifu Kardinal Pengo, kulikuwa na sababu gani ya kutaka kwenda nyumbani kwake??
Akifa huyu askofu..nani atabeba lawama.
Polonium hiyo!
Kategeshewa polonium 210, hiii kitu ni hataree kweli kweli kolimba, arafat, chavez, osama....wanaijua!
MizengweP ndo atakuwa mtuhumiwa namba moja.
Najua sana kuhusu hilo ila nilitaka tu kufikisha ujumbe fulani.Ujinga... Polonium haifanyi kazi unavyodhani. Its not a quick acting agent
Yupo chini ya uangalizi wa waumini wake.
Source: Tanzania Daima, Nipashe...
mbona huyu mtu anatajwa sana kwenye hii ishu?kwani nini kinaendelea kati yake na Gwajima?embu fungukeni bhana!nasikia anaitwa Alhaji Salum P!jf kiboko.