Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

Hapo kwel shida sio hiyo 16k ila shida inakuwaje vipimo viwili ambavyo kwa kawaida maabara nyingi kipimo kimoja cha mkojo ama damu ni 3k, halaf utozwe 16k tena kwa kipmo kimoja!
Hii inchi hii tunakoelekea MUNGU tu ndo anajua.

Wale wanaosema 16k sio ya kulalamikia, mkumbuke watu tunatofautiana maisha, kuna watu wanapambana sana lakn nati bado zimekaza mbaya mbovu, kama ndo hvyo maisha yatakuaje?
 
Hapa naona kuna mambo matatu.

Moja umelalamika Bei.
Pili kwanini wakupime Malaria pekee wakati wamechukua na mkojo.
Na tatu umehoji hali ni ngumu na serikali inaamkandamiza wananchi wake isivyo haki na hali ni ngumu mtaani.

Turudi kwenye hoja ya kwanza na ya pili.
Una uhakika kwenye Cheti chako hakuna majibu ya urinalysis?.
hiyo damu wamechukulia mshipa mkubwa wa mkonon au kidoleni?.
Usikute wamekupima FBP ambayo ni 5k kwa zahanati nyingi.
Wakapima malaria 3k.
Wakapima VDRL ambayo huwa 5k na UTI na Gono kwa mkojo ambayo ni 3k.

ila majibu yakaja kuwa ni Malaria.
Angalia kwa makini Cheti chako.

Private ni gharama zaid. damu na mkojo haiwezi kuwa 6k.
Maelezo mazuri. Wagonjwa wengi au wanaowasindikiza wagnjwa Zahanati mara nyingi hawasomi cheti wanachopewa -wanadhani cheti hicho ni kwa ajili ya daktari atakaporudi hapo zahanati awamu nyingine kufuatilia matibabu. Hili linatokana na lugha inayotumika kwenye cheti sio lugha rafiki kwa mgonjwa. e.g. ww hapo juu umeandika FBP ni mgonjwa gani wa kijijini atajua kwamba hiyo ni Full Blood Picture au VDRL ni Venereal Disease Research Laboratory (ni kifaa) na ni nani atakayeweza kumwelewesha yote hayo isipokuwa ni yule Mhudumu wa Afya? Wagnjwa wengi lengo lao ni kupona ugonjwa uliomfikisha hapo zahanati. Hayo mengine wanamwachia Dokta.
 
Hapo kwel shida sio hiyo 16k ila shida inakuwaje vipimo viwili ambavyo kwa kawaida maabara nyingi kipimo kimoja cha mkojo ama damu ni 3k, halaf utozwe 16k tena kwa kipmo kimoja!
Hii inchi hii tunakoelekea MUNGU tu ndo anajua.

Wale wanaosema 16k sio ya kulalamikia, mkumbuke watu tunatofautiana maisha, kuna watu wanapambana sana lakn nati bado zimekaza mbaya mbovu, kama ndo hvyo maisha yatakuaje?
Inawezekana hiyo 16k ni gharama halali lakini imekosa maelezo. Yupo mdau humu Mwaka wa Mbele ametoa maelezo mazuri na ukijumlisha gharama utapata hiyo 16k.
 
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.

Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.

NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?
Mkuu una ushahidi gani kuwa Umepimwa Malaria Pekee!? Na kama ni kweli kwanini usingehoji palepale kuwa nimelipa Gharama hizi na hizi ila nimepimwa kitu kimoja pekee au kitu ambacho sijaandikiwa, bahati nzuri umetaja Lekesheni za Mwanza tena Mjini na sio huko Misasi au Nyangunge Private ipi uende utumie 6k tu ndani ya Jiji la Mwanza!?
 
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.

Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.

NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?
Hili limenifanya nicheke na kulia kwa mpigo 😀🥹
 
Back
Top Bottom