Hali ya Magereza Mahabusu na Wafungwa

Hali ya Magereza Mahabusu na Wafungwa

Tofauti ya mahabusu na wafungwa ni ipi?
Mahabusu ni yule ambae bado hajahukumiwa na mfungwa ni yule ambae anatumikia hukumu yake. Katika mfumo wetu mahabusu wana hali mbaya kuliko wafungwa maana hawajui watatoka lini. Unaweza kukaa miaka mitano rumande halafu ukaonekana hauna hatia. Inakuwa imekula kwako. Na sidhani kama tuna dhana ya "time served" kuwa ukipatikana na hatia ule muda uliokuwa mahabusu utapunguzwa kutoka kwenye hukumu yako.

Amandla...
 
Mahabusu ni yule ambae bado hajahukumiwa na mfungwa ni yule ambae anatumikia hukumu yake. Katika mfumo wetu mahabusu wana hali mbaya kuliko wafungwa maana hawajui watatoka lini. Unaweza kukaa miaka mitano rumande halafu ukaonekana hauna hatia. Inakuwa imekula kwako. Na sidhani kama tuna dhana ya "time served" kuwa ukipatikana na hatia ule muda uliokuwa mahabusu utapunguzwa kutoka kwenye hukumu yako.

Amandla...
Shukrani sana mkuu nimeelewa vyema
 
Ivi unajua hata wewe unaweza ukafungwa jela? Do you think you are immune kufungwa jela?
Je ndugu zako?
Unafikiri yeyote aendaye jela anakuwa Ame commit a crime?
Kama wewe ni mkristu hebu angalia maisha ya Yusufu, alienda jela kwa kosa ambalo hakufanya, na Mungu hakuangaika naye kwakuwa ulikuwa ni mpango wake..
Jaribu kuonesha upendo,haijalishi kwa mtu wa character gani.Wafungwa ni binadamu kama ss
Kumbe uko biased against harsh treatment incase siku moja na wewe utaingia jela. Mimi najua kama naweza fungwa na hata ikitokea then nitastahili harsh treatment as everyone else sababu najua ulimwengu sio fairly tale made of rainbows. Kufungwa kimakosa ni 1 in 99, ni very exceptional. Na hao 1 percent kivyovyote hawa-cancel maovu waliyofanya 99 waliobaki. The fact unaongelea upendo juu ya wabakaji, wauaji, majambazi, wezi, na wakabaji. Inasema kila kitu kuhusu character yako.
 
Wenye dhamana hawajui kwamba nanwao nj wafungwa watarajiwa?
 
Watu wanahukumiwa vifo lakini mauaji hayaishi.

Inaelekea wewe elimu yako na ufahamu wako wa magereza ya ulaya unaipata kwenye movie. Hiyo Alcatraz uliyoitolea mfano ilijengwa 1910 na ilianza kutumika kama jela ya serikali 1934. Ilifungwa 1963 na sasa hivi ni makumbusho ya kuonyesha jinsi jela za wakati ule zilivyokuwa za kinyama.

Devil's Island ilianzishwa 1852 na imefungwa toka 1953. Jela kubwa ya Saint-Laurent-du-Maroni ilifungwa 1946. Rikers Island ya New York itafungwa 2026. Mfano wa jela mbaya ambayo bado inaendelea kutumika ni ya Angola iliyopo Lousiana. Angola ilikuwa shamba la watumwa kabla ya kugeuzwa kuwa jela. Sasa hivi asilimia 76 ya wafungwa ni weusi. Lakini hata Angola wafungwa hawanyei debe na hawadhalilishwi kama tunavyofanya hapa kwetu.

Sasa angalia nchi kama Netherlands ambayo ina watendea haki wafungwa wake. Sasa hivi Netherlands inakodisha baadhi ya jela zake kwa nchi nyingine kama Belgium kwa sababu haina wafungwa wa kutosha.
Ukatili, unyanyasaji na udhalilishaji jela haujawahi kuwa deterrent kwa wenye nia ya kutenda maovu.

Amandla...
Nimezitolea hizo jehannamu mifano sababu "zilikuwepo" na watu walielewa maana ya "mbaya" atalipwa ubaya mara mbili. Au wewe unafikiri kwanini dini na Mungu amehaidi moto siku ya mwisho?
For that same reason, kipindi hicho west ilikuwa na amani na disciplined citizens zaidi ya vichaa wa leo wanaopigana risasi kila siku. So, yes. Jela ni deterrent kwa wenye nia ya kufanya maovu. Mfano mzuri ni hapa TZ, wewe unadhani wale washenzi wa kibiti walienda wapi?

Inavyoonesha wewe elimu yako ya magereza ya nje umeitolea mtandaoni, mostly ChatGPT, bila kufikiria mara mbili sababu zinazopelekea utofauti wa kimazingira na tamaduni unaopelekea utofauti wa kibinadamu kiujumla. Kisa solution moja inafanya kazi kule haimaanishi itafanya kazi na hapa.

Yaani seriously unalinganisha Netherlands nchi yenye population ndogo mara 3 kuliko TZ, utajiri wa kutupa, tamaduni tofauti, na mazingira bora na Tanzania Nchi iliyojaa umasikini, ujinga, mazingira mabovu na njaa? Are you serious? Netherlands' GPD ni over 1,000,000,000,000 usd. Hivi unaweza kuisoma hiyo number? Hiyo ni over a Trillion usd. Tanzania's GPD ni less than 80 billion usd. Can't you see the difference? Yaani hata Elon Musk ni tajiri kuliko nchi yetu alafu unajilinganisha na Netherlands?

Hivi haujui kwamba umasikini ni chanzo kikubwa cha kufanya maovu? Mtu kutoka Netherlands ana haja gani ya kuiba au kufanya uovu kama yupo over satisfied na maisha yake? Hahaha, aisee.

Alafu kingine ni hivi: Ni rahisi kum-control mjinga njaa mwenye "nia" kwa fear na ukatili kuliko mwenye "nia" aliyeshiba na mwenye "akili" hata kidogo kumzidi huyo wa kwanza. Guess, Africa imejaa kina nani?
 
Sijui kama umenielewa vizuri, nimesema kunyanyaswa na ile hali ya kumuondolea mtu, utu wake. Aliyepangiwa kazi ngumu kutokana na kifungo chake afanye.
Bado nasisitiza, gereza liwe sehemu ya mafunzo. Katika 100 hata 10 wakitoka, wamejua kazi aina fulani, wamebadilika kitabia, si haba ni faida kwao na jamii nzima.
Yeah, sidhani kama umenielewa pia!
 
Mengine hufanyika kwa nia njema ikiwa ni pamoja na kuchochea mtu kuuchukia uhalifu ambao wengi ndiyo unaowapeleka huko gerezani, kuhakikisha usalama wa Maafisa wanaowalinda hao wafungwa, kuhakikisha usalama binafsi wa mfungwa pamoja na usalama wa wenzake anaokuwa nao hapo gerezani.
Kwahiyo kabla ya kuhukumu, jifunze kujua sababu za msingi kwanini hayo yanayofanyika huko anafanyika kwa namna hiyo na kwa faida gani au sababu zipi za msingi
Maisha wanayoishi wafungwa yanawafanya kuwa na roho mbaya, sugu na visasi. Hii inapelekea pale wanapomaliza vifungo vyao kuwa watu hatari zaidi.

Kuna haja ya Serikali kulitazama hili, wabadili mfumo wa maisha ya wafungwa.

Unamfundishaje mtu kuwa mwema kwa kumdhalilisha?
Unamfundishaje mtu kuwa mwema kwa kumtesa?
Unamfundishaje mtu kuwa msafi kwa kumlaza mahala pa chafu?

HII NI AIBU
 
Mtu anakwapua hela za madawa, anakua ameua wangapi?
Umewahi waona jela watu hao.

Jela kuna waiba kuku na vitu vidovidogo
Hao hao wanaoiba vitu vidogo vidogo ndo hatari zaidi maana wanaiba hazina za masikini.

Mm Kuna jamaa kanitapeli M3 imeniuma Sana maana ndo ilikuwa hazina yangu ila cha kushukuru jamaa Kwa sasa ana nyea ndoo,sasa kupitilia muda wa yeye kisota jela angalau na mm napoza machungu ya Hela yangu kuliko kama anganiibia halafu niwe namuona mtaani tu.

To me jela ziachwe hivo hivo na mateso yake maana 99 percentage ya wafugwa walifanya makosa.

Kwanini nasema hivo Kuna mama mganga mtaani huku kakamatwa mara mbili Kwa kesi za mauaji lakn Kwa kusingiziwa na ameachiwa maana picha huwa Iko hivi wauaji halisi wanakuja kwake kuaga dawa wakishafanya maovu yao huko na yeye anakuwa hajui chochote sasa wakidakwa wanamtaja na yeye na polisi wetu vilaza wanazoa zoa tu lakn mahakamani anaachiwa Kwa kukosekana Kwa ushahidi wa kumfunga yeye ila wauaji halisi wanahukumiwa kunyongwa.

Hivo basi Kwa uzoefu wangu watu wengi walioko jela walifanya ujinga na maovu mbalimbali...na utakubaliana na mm kama tu uliwahi kushinda kesi mahakamani na kumfunga mtu,mahakama za kibongo rushwa ipo ila pia uwe na ushaihidi wa kumfunga mtu maana pia na yeye anapewa nafasi na kujitetea na hata kuleta wanasheria.

Wafugwa wasote tu na hata mm nikifugwa nikasote tu maana ndo yatakuwa malipo ya uovu wangu.

Halafu mm nakataa siyo mara zote wafugwa wakitoka jela wanakuwa sugu,,,wengi tu wanabadilika na kuacha uovu hapa mtaani Kuna jamaa alikuwa anafanya mbabe siku moja kamtishia mama yake panga,hapa na pale kafugwa miezi sita asee sasa ni miaka mitano tangu atoke jela huwa akiona hata watu wanazozana anakimbia eneo la tukio hata asiwe shahidi tu ubabe wote kwisha.

Mm Niko palepale wafugwa wanyee ndoo na walale kama michongoma Kwa maana mtaani Kuna watu wahalifu Sana.
 
Back
Top Bottom