Hali ya Komredi Kinana

Mstakari
Mustakari ni misamiati gani hii?
 
Wapuuzi ni nyinyi lumumba bk7. Baada ya kuchangia hoja unachangia "vijana WAPUUZI wa nchi" wewe ukiwemo. Vwonder vitajengwa kwa upuuzi huu wa wapuuzi
 
Povu la nini sasa?OMO? ARIEL? CLEAN SoFT? Au TOSS?

Hivi wewe mtoto ni wa kumtukana mshana jr kweli kisa mapenzi ya chama chenu cha kushibia?

,

HUNA ADABU.
 
Ila hakuwa na uso wa furaha. Kuna kitu lazima, wala si ugonjwa
Ni kweri Mkuu Kinana alionekana ni mtu mwenye msiongo wa mawazo aliepoteza matumaini ya kutimia kwa ndoto zake na mwenye hasira mno
 
MJIREKEBISHE HAMTA KUTANA NA MADA KAMA HIZI!
 
Ili CCM i survive Comrade Kinana ni mtu muhimu kwenye chama hicho. Ni wakati muafaka kwa mwenyekiti achukue tahadhari za haraka kama chama hakijaingia kwenye turmoil.
 
Ndio maana kuna MTU hapo juu kakuambia hujiwezi kichwani! Umeshindwa kujua sababu ya watu kuhoji wapi Kinana na sasa kufuatilia trend ya afanyayo? Kama hujui uliza, hayo ni mambo ambayo wenye ufahamu ndio wanafuatilia.
Iko hivi, Nape kama waziri wa habari alichukizwa na kitendo cha Bashite (Toto LA sizonje) kuvamia Clouds akaamua kulichunguza kwa kuunda tume. Baba kachukia kamfukuza muunda tume, Mmakonde akaitisha waandishi azungumze, kwa Mara ya kwanza nchini waziri akavamiwa hadharani na kutishiwa bastola asiongee, Msomali anayejua historian ya mini mmakonde kafanya mpaka Sizonje yuko kwenye usajili akaja juu na kuitisha press ambayo ikazuiwa naye "kutumwa" matibabu India.
Bado unaona hilo ni jambo dogo halihitaji kufatiliwa?
 
alisemwa sana kwenye ndovu huyu leo tunamzungumza kwenye vitu gani wakuu?
 
Ndio kubishana kwenyewe huko!!
 
Mkuu tumia akili hilo umesema wewe. Don't go beyond the context of the author's contents. Uchungu wa mtu ni kiasi cha hasira kilicho jikusanya ndani ya moyo wake, hivyo wewe una wako na yeye ana wake. Wewe umeelewa hivo mbona ss tume elewa tofauti na hatuja andika tulivyo mwelewa? Mtajipa magonjwa ya moyo bure.
JAMII FORUM IS A HOME OF GREAT THINKER by such point of view it's only stronger can survive.
 
Hayo ni maoni yako
 


Naanza kuamini kuwa inahitajika "kujua kusoma na kuandika tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…