Hali ya kiuchumi ni mbaya sana Zimbabwe

Nimeshangaa sana. Mafuta ya petrol kufika dola 3.4 kwa lita wakati nchini marekani mafuta yako dola 0.7 kwa lita inamaanisha kwamba hali ya uchumi ni mbaya sana nchini Zimbabwe.

Licha ya wananchi wa Zimbabwe kuwa masikini wanalazimika kulipa mafuta bei mara 5 ya Marekani ambayo ni nchi tajiri.

Hivi vikwazo dhidi ya Zimbabwe vitolewe la sivyo haitatawalika kamwe.

Nawasilisha
Mpaka chama tawala kiondoke madarakani kwa sababu mizimu ya mugabe bado ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wazalendo wameshindwa kabisa kustawisha nchi zao toka wapewe uhuru badala yake wamegeuka wakoloni wapya kwa raia wao.Hili bara letu la Africa sijajua tulikosea wapi.
 
!
!
Haikufika Hapo Kwa Siku Moja. Mdogo Mdogo. Mara Mnamwita Mkaguzi Kesho Mnasitisha Kufanya Nae Kazi Mara Paaap Vocha Ya Jero Elfu Kumi.

Huku kwetu hali mbaya itaenda kwa mserereko. Subirini muone mwisho wa mwaka huu muone. Biashara mpya zinakadiriwa provisional tax ya 5 million hapa Arusha.
 
Back
Top Bottom