kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Kambi za Marekani huko Syria na Iraq zimeanza kuchomwa kwa kasi huko Mashariki ya kati.
Hali inazidi kuwa mbaya! Naskia kuna taarifa kuwa Marekani imepanga kuhamisha wanajeshi wake huko.
Tayari wanajeshi kadhaa wa Marekani washakufa huko middle East huu mgogoro unaelekea pabaya sana.
Na mpakani mwa Lebanon na Israel msuguano kati ya Israel na Hezbollah ni mbaya zaidi tayari IDF ishapoteza wanajeshi 40+ na Hezbollah imepoteza wapiganaji wake 16.
Hatima ya huu mgogoro sijui itakuaje.