Hali ya Kisiasa: Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni

Dogo wameshaanza kumkalia vikao, sifa moja kubwa ya kuwa mwana CCM ni namna ya uwezo wako wa upikaji majungu na utengenezaji wa fitna ...huwezi haya basi chama hicho hutakiweza.

Ni kweli kijana asipokuwa makini wanapindua meza!!
 
Unajisumbua Burr na hao watia nia nao wanajisumbua labda wanatia nia tu kuonyesha nao walishiriki.

Ridhiwani atakoma kuwa mbunge wa chalinze Siku ambayo yeye mwenyewe akitaka aacha-Politics is a game brother.
Ipo hivi mwaka huu kwenye chaguzi za ndani ya CCM yanarudi majina 3 na katika hayo majina 3 jina la mbunge aliyopo kwa sasa ni lazima kurudi labda awe anamakando kando ndani ya chama au na viongozi wa Juu wa chama ndio jina linaweza lisirudi.

Majina hayo 3 ndio yanayopigiwa kura na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya katika hatua hii mwenye Jina kubwa na mwenye fedha ndio ataibuka kidedea. na mtu anaweza pita katika hatua hii kwa kura nyingi bado Kamati kuu inajukumu la kumteua yoyote katika hao 3 kuwa mgombea.kwa hiyo ridhiwani ana faida kotekote-Siasa ni zaidi ya umafia.
 
Mshaanza kuchezeana rafu mitandaoni! Mtajuana wenyewe maana mwisho wa siku, hilo Jimbo litaendelea tu kuwa chini yenu kutokana na mwamko duni wa kisiasa kwa watu wa Pwani.
 
Chalinze ilikua na mama mbunge, mtoto mbunge na baba rais matatizo hayakuisha leo ndio yaje yaishe?

Ccm hata wakipewa hii nchi miaka 500 hakuna kitu watakachofanya cha maana kikaonekana.

Tuendelee kufanya uchaguzi kwa mazoea tu ila kitu kinaitwa maendeleo ni ndoto za alinacha.
Wangekuwa na akili wasingeshangilia kujengwa kwa barabara ya lami ya km 11 kupitia kwa JK eti kukwepa foleni Chalinze!?
Bajeti ile ingeweza kujenga zahanati 100!
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni kutokana na hali mbaya ya kisiasa uchaguzi mkuu 2020 hali inayomfanya ashindwe kuhudhuria bunge la bajeti na kuweka kambi Jimboni kufanya kampeni .

Ridhiwan Kikwete amekosa uungwaji mkono kutokana na utendaji wake dhaifu na kushindwa kutelekeza ahadi alizotoa kwa wananchi wakati anachaguliwa mwaka 2015 . Utekelezaji wa ahadi zake ni sawa na asilimia 0.00000 , wakati anachaguliwa alitoa ahadi kumi zilizowavutia wananchi wakiamini huyu ni mtoto wa Rais hakuna kinachoshindikana , ahadi hizo ni ;
1. Kuifanya Chalinze kuwa Dubai
2. Kujenga soko la kimataifa
3. Kujenga stendi ya kisasa
4. Kugawa trekta moja kila kijiji
5. Kujenga uwanja wa mpira wa kisasa
6. Kutoa Ambulance moja kila kata
7. Kuwawezesha vijana wa bodaboda
8. Kuwawezesha wanawake
9. Kuwapa studio ya kisasa wasanii
10. Tatizo la maji kuwa historia

Mbunge huyo kwa Sasa ameacha vikao vya bunge na kujichimbia kuzunguka Jimboni kukutana na wajumbe wa mkutano mkuu akiwafuata na kufanya vikao , amenukuliwa akiwaomba msamaha ili aungwe mkono tena wakati wa kura za maoni . Kila anakopita wajumbe wamemhoji kwa ujasiri MWENZETU UMEKUJA KUAGA ? ULIKUWA WAPI MIAKA YOTE ? KWANINI HUPOKEI SIMU ZA WANANCHI ? OFISI YAKO IKO WAPI ?UMEFANYA NINI MIAKA MITANO ? KWANINI HAUKO BUNGENI NA BADALA YAKE UNAZURURA HUKU ?

Kwa hali ya kisiasa ilivyo Ridhiwan Kikwete hawezi kutetea nafasi yake kwakuwa hakuna alichokifanya , alitelekeza Jimbo kwa muda mrefu , pia anaponzwa kwa dharau na kiburi chake .

WANAOMNYIMA USINGIZI

kwa mujibu wa duru za siasa za Chalinze Kuna watia nia wawili wanaomfanya Ridhiwan Kikwete akose usingizi na kuhaha kama faru aliyejeruhiwa , watia nia hao ni pamoja na ;

1. SAIDI ZIKATIMU, huyu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze anayetajwa kufanya kazi nzuri ya kusimamia Halmashauri kukusanya mapato ya kutosha na kutelekeza miradi mingi ya maendeleo kwa kutumia mapato ya ndani ikiwemo sekta ya Elimu , Afya na kutoa mikopo kwa wanawake na vijana .

ZIKATIMU anatajwa kufanya kazi nzuri mithili ya mbunge ikiwemo kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua na amekuwa kimbilio la wananchi wengi hivyo kuonekana anafaa kuinuliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Chalinze ili aweze kuwatumikia wananchi.

2. RAMADHANI MANENO ; huyu ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani na mbunge wa zamani wa Jimbo la Chalinze 2005-2010 . Maneno anatajwa kutia nia kugombea Ubunge kurejea kwenye kiti chake baada ya miaka kumi aliposhindwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni ndani ya chama mwaka 2010 .

Jimbo limewaka moto !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zikatimu amesoma chuo gani?
 
We huna akili majungu tu juu ya wanaokuzidi kipato, hivii unadhani Riz anataka ubunge ili ale??. Anatengeneza CV tu sidhani kama ana njaa ya uongozi Kama unavyoaminisha watu.

Kuhusu kutimiza ahadi hivi Kuna Mbunge was ccm hata mmoja aliyetimiza ahadi?? KARMANI mwenye ni waziri ameshindwa kutimiza ahadi jimboni kwake maeneo mengi tu hayana umeme Tena ndiko ikulu ilipo ijekuwa Riz.

Nahisi utakuwa umetumwa😂
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni kutokana na hali mbaya ya kisiasa uchaguzi mkuu 2020 hali inayomfanya ashindwe kuhudhuria bunge la bajeti na kuweka kambi Jimboni kufanya kampeni .

Ridhiwan Kikwete amekosa uungwaji mkono kutokana na utendaji wake dhaifu na kushindwa kutelekeza ahadi alizotoa kwa wananchi wakati anachaguliwa mwaka 2015 . Utekelezaji wa ahadi zake ni sawa na asilimia 0.00000 , wakati anachaguliwa alitoa ahadi kumi zilizowavutia wananchi wakiamini huyu ni mtoto wa Rais hakuna kinachoshindikana , ahadi hizo ni ;
1. Kuifanya Chalinze kuwa Dubai
2. Kujenga soko la kimataifa
3. Kujenga stendi ya kisasa
4. Kugawa trekta moja kila kijiji
5. Kujenga uwanja wa mpira wa kisasa
6. Kutoa Ambulance moja kila kata
7. Kuwawezesha vijana wa bodaboda
8. Kuwawezesha wanawake
9. Kuwapa studio ya kisasa wasanii
10. Tatizo la maji kuwa historia

Mbunge huyo kwa Sasa ameacha vikao vya bunge na kujichimbia kuzunguka Jimboni kukutana na wajumbe wa mkutano mkuu akiwafuata na kufanya vikao , amenukuliwa akiwaomba msamaha ili aungwe mkono tena wakati wa kura za maoni . Kila anakopita wajumbe wamemhoji kwa ujasiri MWENZETU UMEKUJA KUAGA ? ULIKUWA WAPI MIAKA YOTE ? KWANINI HUPOKEI SIMU ZA WANANCHI ? OFISI YAKO IKO WAPI ?UMEFANYA NINI MIAKA MITANO ? KWANINI HAUKO BUNGENI NA BADALA YAKE UNAZURURA HUKU ?

Kwa hali ya kisiasa ilivyo Ridhiwan Kikwete hawezi kutetea nafasi yake kwakuwa hakuna alichokifanya , alitelekeza Jimbo kwa muda mrefu , pia anaponzwa kwa dharau na kiburi chake .

WANAOMNYIMA USINGIZI

kwa mujibu wa duru za siasa za Chalinze Kuna watia nia wawili wanaomfanya Ridhiwan Kikwete akose usingizi na kuhaha kama faru aliyejeruhiwa , watia nia hao ni pamoja na ;

1. SAIDI ZIKATIMU, huyu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze anayetajwa kufanya kazi nzuri ya kusimamia Halmashauri kukusanya mapato ya kutosha na kutelekeza miradi mingi ya maendeleo kwa kutumia mapato ya ndani ikiwemo sekta ya Elimu , Afya na kutoa mikopo kwa wanawake na vijana .

ZIKATIMU anatajwa kufanya kazi nzuri mithili ya mbunge ikiwemo kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua na amekuwa kimbilio la wananchi wengi hivyo kuonekana anafaa kuinuliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Chalinze ili aweze kuwatumikia wananchi.

2. RAMADHANI MANENO ; huyu ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani na mbunge wa zamani wa Jimbo la Chalinze 2005-2010 . Maneno anatajwa kutia nia kugombea Ubunge kurejea kwenye kiti chake baada ya miaka kumi aliposhindwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni ndani ya chama mwaka 2010 .

Jimbo limewaka moto !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zikatimu anaonekana mkongwe, na kabarikiwa kuwa na hekima.
 
Tusidanganyane, uchaguzi unaokuja Tume itakuwa inachagua mtu ambaye Magu anamtaka. Wananchi watakuwa wanajiooteze muda tu kwneye box la kura
 
Hamna anachokitafuta ambacho hajawahi kukipata, akae tu pembeni aache kubembeleza watu, kwa kuwa hata ajae hawezi tekeleza hayo, naujinga kumchagua mtu kwa ahadi za NDIO MZEE!
 
Moja la kosa wanalofanyaga Chama chetu CCM ni kuamini Hawa watoto wa viongozi kuwa nao Watakuwa viongozi bora. That's a wrong perception. Hata Kalenga walimuweka mtoto wa Marehemu Mgimwa, Yule jamaa hopeless kabisa kabaki kufuga midevu. CCM mpya ya Magufuli Nadhani Mtego huu watautegua
 
Huwez jua labda baba yake alipo kua anamaliza alimkabidhi. Kwa Magufuli ili amsaidie kutimiza alio ahid siunajua CCM ilio kua ya wazee wetu hakuna linalo shindikana Ila mwamba Magufuli atakua kapangulia gia angani

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna ziara moja ya Rais jamaa alimwomba Magu asaidie kuhakikisha Chalinze inapata maji, Magu akamwambia Baba yako kawa mbunge miaka kadhaa na akaja kuwa Rais hakuweza, yeye Magu ataweza?
 
Chalinze ilikua na mama mbunge, mtoto mbunge na baba rais matatizo hayakuisha leo ndio yaje yaishe?

Ccm hata wakipewa hii nchi miaka 500 hakuna kitu watakachofanya cha maana kikaonekana.

Tuendelee kufanya uchaguzi kwa mazoea tu ila kitu kinaitwa maendeleo ni ndoto za alinacha.
Ukweli mchungu huu.
 
Back
Top Bottom