maana yake nini sasa tupe mwongozo mkuu
Bora 2015 Chadema iwe haina jimbo Kigoma ili tuzungumze mengine
Habar ya mkuu PREZZO! unasema hivyo kwakuwa umetangaza kutokugombea ubunge 2015, ?
Bora 2015 Chadema iwe haina jimbo Kigoma ili tuzungumze mengine
so what?wabunge (NCCR-4,CCM-3,CHADEMA-1 (Kigoma Kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.

2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10
Hoja dhaifu kama hizi huwa hazina nguvu yoyote huko kigoma kaskazini hata kama zitto asifike kwa miaka yote yeye ataendelea kuwa mbunge mpaka achoke yeye.
Hivyo kuwe na ofisi ya chadema au kusiwe na ofisi yeye si shida na fikiri mtoa mada bado hujaweza kutengeneza hoja yako vema.
Ni vema kwa mtanzania kuongea mambo muhimu ya kujenga nchi hii na si kuwa na hoja za kwenye vijiwe vya kahawa kisha unaleta kwenye kadamnasi hii.
Bora 2015 Chadema iwe haina jimbo Kigoma ili tuzungumze mengine
Huwa ninacheka sana nikiona hali ya kisiasa ya Chadema kwenye jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mara nyingi ninajaribu kulinganisha na uimara wa Chadema kwenye majimbo ya Arusha Mjini,Musoma mjini,Karatu,Hai na Ubungo.
Haya mambo ndiyo maana wakati mwingine yanatupa wasiwasi na tunashindwa kuaminiana.
Hoja dhaifu kama hizi huwa hazina nguvu yoyote huko kigoma kaskazini hata kama zitto asifike kwa miaka yote yeye ataendelea kuwa mbunge mpaka achoke yeye.
Hivyo kuwe na ofisi ya chadema au kusiwe na ofisi yeye si shida na fikiri mtoa mada bado hujaweza kutengeneza hoja yako vema.
Kisha kuna mbunge mmoja wa chadema na ndio yeye peke yake kwenda kwake kuna barabara safi na bora sifahamu hao wengine walio wengi wamefanya nini kwenye majimbo yao.
Ni vema kwa mtanzania kuongea mambo muhimu ya kujenga nchi hii na si kuwa na hoja za kwenye vijiwe vya kahawa kisha unaleta kwenye kadamnasi hii.