Hata mimi Kamanda sina imani naye kabisaaaaaaaaaaaaaa.............Mimi simuamini Zitto tena.
Hata mimi Kamanda sina imani naye kabisaaaaaaaaaaaaaa.............Mimi simuamini Zitto tena.
watu wengine nadhani mnachangia thread bila kujua mantiki .nadhani na ww ni masalia ya zitto kwa kuwa unashabikia upuzi kama ww ni cdm
unaitaji maji ya baraka.kwanza ni lazima ukiwa mbunge utengeneze network ya kutosha upate madiwani wengi,wenye viti wa vijiji hiyo iwe jambo kupgana kufa kupona..sasa kama unamashabiki na huna wachezaji kuna maana gani>>use common sense jambo la msing hapa mkosoaji kasema ukweli mnataka zitto wenu awe rais wenu waell n gud.atengeneze kwake kwanza kwake...na hii sii kwa zitto tu hata kwa wabunge wengine wa cdm....
huwa ninacheka sana nikiona hali ya kisiasa ya chadema kwenye jimbo la kigoma kaskazini.
Mara nyingi ninajaribu kulinganisha na uimara wa chadema kwenye majimbo ya arusha mjini,musoma mjini,karatu,hai na ubungo.
Haya mambo ndiyo maana wakati mwingine yanatupa wasiwasi na tunashindwa kuaminiana.
Duh! Ukifikiri kwa akili iliyo huru pana tatizo hapa! Hivi unaweza ukawa na nguvu na chama chenye damu yako huku nyumbani pakiwa panalegalega?! Wazungu wana kale ka msemo kao, eti "charity begin at home" ngoja niendelee kuamini kuwa "siwezi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema" lakini wakati huo chadema haina nguvu nyumbani kwangu.
Kaka! Hapo uko sawa.na Ukweli hata siku moja haujifichi.Huwezi amini ni mkoa anaotoka Naibu Katibu mkuu wa chama.Lakini waliomjua kupitia tv wanaweza kuchangia kwa kumtetea hadi kutokwa na povu.Lkn makamanda tunajua kila kijiji cha jimbo lake kwa upande wa chama najua majimbo yote 8 kwa upande wa chama kisivyokuwa na kasi ukilinganisha na nafasi yake.But Tutapambana.Kuanzia january Masalia kama wapo watasoma namba tutakavyonukisha M4C ndani ya Mkoa.
Duh! Ukifikiri kwa akili iliyo huru pana tatizo hapa! Hivi unaweza ukawa na nguvu na chama chenye damu yako huku nyumbani pakiwa panalegalega?! Wazungu wana kale ka msemo kao, eti "charity begin at home" ngoja niendelee kuamini kuwa "siwezi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema" lakini wakati huo chadema haina nguvu nyumbani kwangu.
amejitahidi sana kuzuia ukuaji wa cdm katika eneo hilo!