Hali ya kisiasa mkoani Kigoma

Hali ya kisiasa mkoani Kigoma

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
wabunge (NCCR-4,CCM-3,CHADEMA-1 (Kigoma Kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.
2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10
 
wabunge (nccr-4,ccm-3,chadema-1 (kigoma kaskazini))

Huwa ninacheka sana nikiona hali ya kisiasa ya Chadema kwenye jimbo la Kigoma Kaskazini.

Mara nyingi ninajaribu kulinganisha na uimara wa Chadema kwenye majimbo ya Arusha Mjini,Musoma mjini,Karatu,Hai na Ubungo.

Haya mambo ndiyo maana wakati mwingine yanatupa wasiwasi na tunashindwa kuaminiana.
 
Teheteheteheee....
Salama mkuu....?
 
What is the upshot mwanangu?
wabunge (nccr-4,ccm-3,chadema-1 (kigoma kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.
2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10
 
wabunge (nccr-4,ccm-3,chadema-1 (kigoma kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.
2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10

Binafsi sijakuelewa kama kweli unazungumzia hali ya kisiasa Kigoma au unazungumzia hali ya Chadema Kigoma...!
 
wabunge (nccr-4,ccm-3,chadema-1 (kigoma kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.
2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10

kumbuka mahojiano ya Prezo na wana JF alisema JK hakwenda kumnadi mgombea CCM kwa makubaliano. Je yeye alipewa sharti gani? yawezekana usijaribu kabisa kuimarisha CDM katika jimbo lako. Ni mtazamo wangu tu.
 
Makubaliano! Na JK! Kweli Usaliti hauna soni!
 
Duh! Ukifikiri kwa akili iliyo huru pana tatizo hapa! Hivi unaweza ukawa na nguvu na chama chenye damu yako huku nyumbani pakiwa panalegalega?! Wazungu wana kale ka msemo kao, eti "charity begin at home" ngoja niendelee kuamini kuwa "siwezi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema" lakini wakati huo chadema haina nguvu nyumbani kwangu.
 
Hata mwandiga hakuna ofisi ya chama?, kaazi kwelikweli!, kulikua na mpango wa kujenga ofisi maeneo ya sokoni mwandiga jirani na ofisi ya CCM, mpango uliyeyuka?
 
Huwa ninacheka sana nikiona hali ya kisiasa ya Chadema kwenye jimbo la Kigoma Kaskazini.

Mara nyingi ninajaribu kulinganisha na uimara wa Chadema kwenye majimbo ya Arusha Mjini,Musoma mjini,Karatu,Hai na Ubungo.

Haya mambo ndiyo maana wakati mwingine yanatupa wasiwasi na tunashindwa kuaminiana.

iringa na Mbeya mkuu! hahahahahaha!
nasikia kuna chama kipya bendera zake zimetamalaki kigoma kaskazini...!
 
Ulikuwa umelala ukakurupukia jf nn mkuu?mana hueleweki na ka thred kako.
 
wabunge (NCCR-4,CCM-3,CHADEMA-1 (Kigoma Kaskazini))

kigoma kaskazini

1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha.
2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10
Amejitahidi sana kuzuia ukuaji wa cdm katika eneo hilo!
 
Hoja dhaifu kama hizi huwa hazina nguvu yoyote huko kigoma kaskazini hata kama zitto asifike kwa miaka yote yeye ataendelea kuwa mbunge mpaka achoke yeye.

Hivyo kuwe na ofisi ya chadema au kusiwe na ofisi yeye si shida na fikiri mtoa mada bado hujaweza kutengeneza hoja yako vema.

Kisha kuna mbunge mmoja wa chadema na ndio yeye peke yake kwenda kwake kuna barabara safi na bora sifahamu hao wengine walio wengi wamefanya nini kwenye majimbo yao.

Ni vema kwa mtanzania kuongea mambo muhimu ya kujenga nchi hii na si kuwa na hoja za kwenye vijiwe vya kahawa kisha unaleta kwenye kadamnasi hii.
 
Huwa ninacheka sana nikiona hali ya kisiasa ya Chadema kwenye jimbo la Kigoma Kaskazini.

Mara nyingi ninajaribu kulinganisha na uimara wa Chadema kwenye majimbo ya Arusha Mjini,Musoma mjini,Karatu,Hai na Ubungo.

Haya mambo ndiyo maana wakati mwingine yanatupa wasiwasi na tunashindwa kuaminiana.

mkuu unaoneshwa PICHA unataka na maelezooo?? hahhaahahaha
 
Hoja dhaifu kama hizi huwa hazina nguvu yoyote huko kigoma kaskazini hata kama zitto asifike kwa miaka yote yeye ataendelea kuwa mbunge mpaka achoke yeye.

Hivyo kuwe na ofisi ya chadema au kusiwe na ofisi yeye si shida na fikiri mtoa mada bado hujaweza kutengeneza hoja yako vema.

Kisha kuna mbunge mmoja wa chadema na ndio yeye peke yake kwenda kwake kuna barabara safi na bora sifahamu hao wengine walio wengi wamefanya nini kwenye majimbo yao.

Ni vema kwa mtanzania kuongea mambo muhimu ya kujenga nchi hii na si kuwa na hoja za kwenye vijiwe vya kahawa kisha unaleta kwenye kadamnasi hii.
maana yake nini sasa tupe mwongozo mkuu
 
Back
Top Bottom