Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,302
2,000
Stupid as stupid comes! Why should being inquisitive and wanting to know be condemned? Small brains are the only ones that glorify nativism. Kenyans and Chinese are welcome to comment, criticise or give insights about Tanzania.
You are condemning condemning being inquisitive, while condemning being inquisitive yourself.

You are contradicting yourself. Who is stupid now?

I am only being inquisitive to see if Tanzanians are just as interested in Kenyan affairs.
 

kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,434
2,000
Yaani nimeamini waTz tuna hali mbaya kweli...yaani mkuu umeshindwa kuchanganua tofauti ya visa za lottery na za kawaida? halafu unajidanganya na kudanganya wenzako hapa...Khaaa!
Tatizo majina mnayotumia yanawaumbua wagagagigikoko
 

Dima234

Senior Member
Jan 12, 2021
126
250
Ndugu zangu msiwe kama kondoo Hali ya uchumi na afya ni mbaya mno , tunza pesa , jifunze kulima bustani Kwa ajili ya subsistence food , Hali inayokuja ni apocalyptic , there will be unprecedented poverty , miseries , chaos , deaths , starvation , business buncrupties , unemployment .

Hali ya kiuchumi dunia nzima ni mbaya Sana kutokana na hii Corona pandemic , msijidanganye na chanjo , kuna strains mpaya za Corona virus zinazidi kuibuka kila kukicha, itachukua muda Saba kuja kupata real solution and be back to normal , biashara nyingi zinaendelea kufa na zitakufa kutokana na mzunguko WA biashara kuwa mdogo Sana , tunza fedha kidogo uliyonayo ishi within your means , wengi wenu hamuoni hatari iliyo mbele yenu , mark this comment , ukidharau utakiona cha mtema kuni , utalia na kusaga Meno .
The dooms day and global economic depression is on the horizon .
The new normal won't be normal anymore , this is the new normal .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom