Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000
Walichokitegemea kimekuwa ndivyo sivyo. Kuvamia Cremea na Ukraine. Kudungua ndege yenye raia wengi wa uholanzi, Russia aliharibu!
Walipiga kura ili arudi ila mwaka 2017 warusi wenyewe walitangaza kujitoa rasmi kwenye G8 na kuwa awataitaji tena kurudi japo nchi nyingi zilitaka warudi
 

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
4,054
Points
2,000

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
4,054 2,000
Unaifahamu urusi au unaongea tu?warusi wamechoka, nguvu kubwa urusi wameweka kwenye ulinzi tu sio ustawi wa jamii. Nenda nchi za ulaya ukawaone warusi walivyojazana maana kwao hakukaliki,kitu ambacho huwezi kukiona kwa wa marekani.
Sasa hivi wamejazana kwenye mameli,mshahara hadi wa $1000 wanabeba,jamaa wana njaa hatari
 

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
4,054
Points
2,000

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
4,054 2,000
Mimi nachojua wamarekani milioni 40 ni masikini hoehoe na wanaishi kwa msaada wa kupewa chakula,,kuna wanaolala kwenye mabox,ubavuni mwa maduka,kwenye magari etc,
as kwa Russia sijapata kuona kuna warusi wanaishi kwa msaada wa chakula cha serikali hata watano,
sijapata kuona watu wakilala kwenye mabox huko Russia,
so hapa maana ya masikini sijui ni ipi hasa
Sera za urusi kama za nchi za kiafrika,mambo mabaya wanayaficha,binafsi kuna kipindi nilipita mji wao mmoja unaitwa novoroskisky,niliiona sehemu hiyo wanayokaa magyspy,nyumba za nylon na mabox,huo uchafu sasa!
 

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,189
Points
2,000

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,189 2,000
Sasa hivi wamejazana kwenye mameli,mshahara hadi wa $1000 wanabeba,jamaa wana njaa hatari
Urusi njaa hakuna ndugu, na wala uwezi kusikia wanazunguka kutafuta ajira.

Mwaka huu employment rate(watu walioajiriwa) nchini Urusi ni asilimia 60, wakati Marekani napo ni asilimia 61.inamaana tofauti ni asilimia 1 tu.
Wakati Tanzania ni asilimia 10 tu ndo wana ajira.sasa hapo nani hana njaa ndugu.ulishawahi kusikia hata siku 1 warusi wanandamana kwa sababu ya maisha magumu au ajira hamna?
 

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Messages
763
Points
1,000

Al assad

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2017
763 1,000
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
Umemjibu vema!
 

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
Walichokitegemea kimekuwa ndivyo sivyo. Kuvamia Cremea na Ukraine. Kudungua ndege yenye raia wengi wa uholanzi, Russia aliharibu!
Ss basi nikujuze 2 kwamba jamaa walimtoa kwa suala la crimea sio kwamba eti aliungwa kwa G8 sababu ya silaha

Na kwahio sababu unahisi kabisa ilikua niyakisiasa zaidi kuliko uhalisia
 

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
6,010
Points
2,000

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
6,010 2,000
Mkuu iyyo USSR wala haijawai kuwepo kwenye G8.G8 imeanzishwa mwaka 1997 ila kabla ya hapo ilikuwepo G7 yani (France, UK, Canada, Itary, USA, Germany, Japan) ambayo nayo ilianzishwa mwaka 1975 kabda ya hapo ilikuwa G6(France, USA, UK, Japan, Itary na Germany)
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
 

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Kikao cha mwisho cha g8 trump alisema russia arejeshewe uanachama wake aliangalia kigezo gan ?!

au ss hv kasha ota meno urusi


Maajabu hayajawahi kuisha kwa vijana waki tz asee
 

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Ina maana hapa juzi wakat trump anasema kwamba russia arejeshwe kwa uanachama wa g8 aliangalia kama russia kasha anza ota meno ss ama nn

Vijana wa tanzania hua 2nafikiria kwakutumia kiungo gan cjui asee
 

Forum statistics

Threads 1,343,529
Members 515,077
Posts 32,787,850
Top