Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

Walichokitegemea kimekuwa ndivyo sivyo. Kuvamia Cremea na Ukraine. Kudungua ndege yenye raia wengi wa uholanzi, Russia aliharibu!
Ss basi nikujuze 2 kwamba jamaa walimtoa kwa suala la crimea sio kwamba eti aliungwa kwa G8 sababu ya silaha

Na kwahio sababu unahisi kabisa ilikua niyakisiasa zaidi kuliko uhalisia
 
Kuna Wachina na Warusi wengi wanaotamani kuishi Marekani kuliko vice versa
 
Mkuu iyyo USSR wala haijawai kuwepo kwenye G8.G8 imeanzishwa mwaka 1997 ila kabla ya hapo ilikuwepo G7 yani (France, UK, Canada, Itary, USA, Germany, Japan) ambayo nayo ilianzishwa mwaka 1975 kabda ya hapo ilikuwa G6(France, USA, UK, Japan, Itary na Germany)
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
 
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Kikao cha mwisho cha g8 trump alisema russia arejeshewe uanachama wake aliangalia kigezo gan ?!

au ss hv kasha ota meno urusi

Maajabu hayajawahi kuisha kwa vijana waki tz asee
 
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Ina maana hapa juzi wakat trump anasema kwamba russia arejeshwe kwa uanachama wa g8 aliangalia kama russia kasha anza ota meno ss ama nn

Vijana wa tanzania hua 2nafikiria kwakutumia kiungo gan cjui asee
 
Kwani ujui mrusi alichanganya karata trump akampiga chini bi dada clinton
Kikao cha mwisho cha g8 trump alisema russia arejeshewe uanachama wake aliangalia kigezo gan ?!

au ss hv kasha ota meno urusi

Maajabu hayajawahi kuisha kwa vijana waki tz asee
 
Propaganda hizi

Kama kweli aliekwa na RUSSIA Y Kla leo amawaekea mashinikizo ambayo ynadumaza Uchumi Wake ?!
We unavyoona tu Trump ni kiongozi kweli anayefaa kwa marekani maana hata washirika wake wanashindwa kumuamini.kilichotokea kwa waasi wa kikurdi wa syria kimeshangaza dunia.

Yani anampisha adui kwenda kumpiga mshirika wake, alafu unasema uyu jamaa sio pandikizi
 
Hata kama ni pandikizi kweli ila sio kuhusiana na suala la g8
 
Back
Top Bottom