aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 718
- 752
Ccm bhana
Comment Bora kabisa ya kufungia mwaka 2019....
Comment Bora kabisa ya kufungia mwaka 2019....
Ss basi nikujuze 2 kwamba jamaa walimtoa kwa suala la crimea sio kwamba eti aliungwa kwa G8 sababu ya silahaWalichokitegemea kimekuwa ndivyo sivyo. Kuvamia Cremea na Ukraine. Kudungua ndege yenye raia wengi wa uholanzi, Russia aliharibu!
There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENOMkuu iyyo USSR wala haijawai kuwepo kwenye G8.G8 imeanzishwa mwaka 1997 ila kabla ya hapo ilikuwepo G7 yani (France, UK, Canada, Itary, USA, Germany, Japan) ambayo nayo ilianzishwa mwaka 1975 kabda ya hapo ilikuwa G6(France, USA, UK, Japan, Itary na Germany)
Kikao cha mwisho cha g8 trump alisema russia arejeshewe uanachama wake aliangalia kigezo gan ?!There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Ina maana hapa juzi wakat trump anasema kwamba russia arejeshwe kwa uanachama wa g8 aliangalia kama russia kasha anza ota meno ss ama nnThere you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Point yako ni IPI? Sijakuelewa.Ina maana hapa juzi wakat trump anasema kwamba russia arejeshwe kwa uanachama wa g8 aliangalia kama russia kasha anza ota meno ss ama nn
Vijana wa tanzania hua 2nafikiria kwakutumia kiungo gan cjui asee
We unavyoona ni sifa zipi zinazotakiwa ambazo Urusi hana?There you are brother but again Urusi hakuingia kwa SIFA bali aliingizwa tu, in other words alikua member asie na MENO
Uwezi ukaongoza watu katika kuwatoa kwenye umaskini wakati wewe mwenyewe maskini.kiongozi anatakiwa awe tajiri
Kikao cha mwisho cha g8 trump alisema russia arejeshewe uanachama wake aliangalia kigezo gan ?!
au ss hv kasha ota meno urusi
Maajabu hayajawahi kuisha kwa vijana waki tz asee
Me mwenyewe nmetoka Urusi juzi tu apo mwezi wa pili mwaka huu ..kwakweli khali inatisha..Mwaka 2018 sio ata zaman sana mkuu
Point yangu ni kwamba kama RUSSIA Haina hvyo vigezo kwa nn TRUMP Kikao hiki chajuzi alisema kama RUSSIA Warejeshewe Uanachama Wa g8 ?!Point yako ni IPI? Sijakuelewa.
Propaganda hiziKwani ujui mrusi alichanganya karata trump akampiga chini bi dada clinton
We unavyoona tu Trump ni kiongozi kweli anayefaa kwa marekani maana hata washirika wake wanashindwa kumuamini.kilichotokea kwa waasi wa kikurdi wa syria kimeshangaza dunia.Propaganda hizi
Kama kweli aliekwa na RUSSIA Y Kla leo amawaekea mashinikizo ambayo ynadumaza Uchumi Wake ?!
Hata kama ni pandikizi kweli ila sio kuhusiana na suala la g8We unavyoona tu Trump ni kiongozi kweli anayefaa kwa marekani maana hata washirika wake wanashindwa kumuamini.kilichotokea kwa waasi wa kikurdi wa syria kimeshangaza dunia.
Yani anampisha adui kwenda kumpiga mshirika wake, alafu unasema uyu jamaa sio pandikizi